Usahihi wa mambo kijana anatakia aoe anapo baleghe tu. Shida malezi ya siiu hizi unakuta kijana ana miaka 25 bado hajielewi,yaani kujisimamia mwenyewe tu anashindwa,kuja kumsimamia mwanamke,kumuhudumia,kumungoza na kumtunza huwa muhali na hutokea kama ya huyu dogo.Mwanaume 23 years anaoa? Alikua anawahi nini labda... Kwakweli hiyo ni sawa na kuondoka night club saa tatu usiku.
Alidhani ndoa ni kufanya tu matusi! Mwambie aendelee tu na mke wake, kama anajiona bado mdogo atakulia tu humo humo ndoani
Huyu dogo ni mjinga sana,mpaka nashindwa kutoa ushauri.