Kila kukicha papuchi zinazidi kuongezeka na zinazidi kuwa tamu nioe nigundue nini sasa ...tena mapema yote hiyo na hapo bado hajakutana na wanaojua kuifinyia kwa ndani
Huyo dogo kama sio msukuma basi anatokea pwani mfano kama tanga
Washamba ndio choices unazopenda? Au unaoa tu ilimradi unaoa? afu mkeo umuwekee ndani kama utumbo, uanze kusumbua wake za wenzio waliovaa viatu virefu?
Ana mindset ya ajabu kabisa. Anataka kuoa mwanamke anayetawalika [emoji17][emoji848] sio anaoa mwanamke anayempenda ili wafanye maisha. Hawa ndo wanaosimanga wake zao kwa kuwa hawana alternative ya maisha. Anatafuta mwanamke masikini wa kuoa ili amsimange atakavyo ili ku feed ego yake. Pathetic
Washamba ndio choices unazopenda? Au unaoa tu ilimradi unaoa? afu mkeo umuwekee ndani kama utumbo, uanze kusumbua wake za wenzio waliovaa viatu virefu?