Mhe. Tundu Lissu, wewe ni mgombea wa urais. Sote tunatambua ya kuwa urais ni taasisi. Hivyo ni muhimu sana kwa wewe kujijenga kitaasisi ukiwa mgombea. Kwa jinsi ninavyoshuhudia katika kampeni zako wewe umekuwa ndo kila kitu yaani wewe ndo msemaji wewe ndo Katibu wa chama.
Sioni haja ya wewe kufanya kufanya press kujibu hoja za changamoto unazopitia wakati ungetakiwa uwe na crew ya watu smart wa kujibu mambo kama hayo. Kumbuka hugombei ubunge unagombea taasisi ya urais.
Jifunze hata kwa mwenzako JPM 2015 na 2020. Jibrand kama Rais, epuka mihemuko kwani Watanzania wa sasa ni tofauti na Watanzania wa enzi za Nyerere wanajua sana waongozwe na nani kwa kipindi gani.