Unadhani ungeandika Kiswahili ungeonekana fala kuliko ulivyo sasa?I totally agree on this point and this is the challenge that chadema need to do is to make tundu looks presidential
This is completely wrong. Lissu is doing very well contrary to jiwe who shows his dictatorial traits. Lissu is a man of the people, down to earth and we need exactly this kind.I totally agree on this point and this is the challenge that chadema need to do is to make tundu looks presidential
Anavyofanya Lissu ni sahihi kabisa, huu ni wakati wa kuzungumza na kuonesha uongozi, sio wakati wa kukaa na kusubiri mtu mwingine akusemee. Hayo makosa anafanya jiwe kwani ni tabia yake kudharau au kuogopa press conference na waandishi wa habari, hii ni tabia ya kidikteta na inaonesha udhaifu wake kushindwa kujibu hoja na maswali mbalimbali. Lakini Lissu anafanya vyema kabisa na akiwa rais unaona kabisa atakavyokuwa tofauti na yule dikteta.

Muulize political whore aunt polepoleHivi Pato letu la ndani linatosha kulipa mishahara?
Bado hujitambui ila so kosa lako ni ubongoccm ulionao kichwaniTundu LISU Size yake ni Polepole Ndio kila kukicha wanaitisha waandishi Wa habari hahahahahhahaha MAGU MY PREZOOOOO