Ushauri kwa mkuu wa mkoa wa zamani wa Dar es Salaam Paul Makonda

Mkuu, please usinitag kwenye hizi threads, am not interested wala sihitaji haya mazoea ya ku mention watu hivi, Tafadhari sana.
Sasa hapo ndipo ulipokosea kipenzi. Bora ungepiga kimya. Watu wanapenda kukera tu yani
 
" Mara ya mwisho Saanane alionekana ofisini kwa Mbowe" Said Kubenea
Upumbavu katika level ya juu kabisa, kupotea kwa binadamu ni police case sio politics!,unajionyesha ni jinsi gani ulivyokua katili na bado unajifanya unafunga na kwenda nyumba za ibada, tunazungumzia maisha ya binadamu mwenzetu hapa na sio maisha ya mjusi
 
Police ifanye kazi yake kisheria ya kufanya upelelezi kuhusiana na kupotea kwa Mr.Saanane...ipo siku ukweli utajitokeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…