X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #21
Huyu mdau yuko sahihi asilimia mia , binafsi sio PM tu, hata ukinifuata kwa meseji ya kawaida ukaanza na salamu ya aina hiyo hasa kwa namba ambayo siijui na haukujitambulisha kwenye hiyo salamu yako siwezi sikujibu...hii inaaply sana kwa mtu ambaye hamfahamiani,! ni kwamba kama umeamua kusalimia, then ambatanisha utambulisho na kusudi la hayo mawasiliano. huu ni utaratibu mzuri na sahihi kabisa wa kuwasiliana unaothamini na kuheshimu muda na nafasi wa mhusika.
Yani sijui tunawasaidiaje awa ndugu zetu...Yani kwakuwa mtu ana namba Yako basi anakuandikia jinsi anavyo jisikia yeye...!