Ushauri kwa mnaohitaji misaada mbali mbali mtandaoni/popote

Yani sijui tunawasaidiaje awa ndugu zetu...Yani kwakuwa mtu ana namba Yako basi anakuandikia jinsi anavyo jisikia yeye...!​
 
Salamu inasaidia Nini labda tuanzie hapo. Usiposalimiwa unapungukiwa ama unaongezeka.
Na ukisalimiwa unapata Nini labda.
Kuwa serious toa reasons usije ukasema kuwa tumekuta watu wanaishi ivyo Basi inabidi na sie tunafuata ivyo ivyo
 
Salamu inasaidia Nini labda tuanzie hapo. Usiposalimiwa unapungukiwa ama unaongezeka.
Na ukisalimiwa unapata Nini labda.
Kuwa serious toa reasons usije ukasema kuwa tumekuta watu wanaishi ivyo Basi inabidi na sie tunafuata ivyo ivyo
Kuna msemo kua " ukiwa roma ishi kam waroma" sio mara zote, jiongeze.

Salamu ni mwanzo wa mazungumzo, salamu ndo itadetermine kua niendelee kuongea/kujieleza au niishie hapa.

Hakuna taifa lisilo na salamu mkuu, kama lipo litaje, kwamba ukifika tu moja kwa moja unaanza kueleza shida zako.

Hizi kampuni za mawasiliano zinahudumia maelfu ya wateja kila siku, lakini muhudumu akipokea simu yako ataanza na salamu na kumaliza na kuaga, unadhani ni kwanini??

Salamu inalainisha, salamu ni njia moja wapo ya kujua mood ya huyo unaeongea/kuchart nae, ukimwambia mambo akajibu "P" unajua huyu ni mtu wa namna gani nideal nae vipi.
Ukimuambia mambo akajibu "salama habari mtumishi" utajua udeal nae vipi.
Unapouliza salamu ina maana gani, tunarudi kule kwa bibi FaizaFoxy kua huko shule ulienda kusomea nini maana hizo ni ishu ndogo za msomi kung'amua.
 
You're just rationalizing your beliefs.
Pia mie sijaenda shule na nimejaa ujinga. Una lingine, ama unapenda kusalimiwa salimiwa utadhani unaongezeka Nini. Kwa iyo mie ndiye nipambane na mood yako.
Nimekuambia kuwa adi raia wengine wanalalamika kuwa tunapenda mno salamu wabongo.
Ishi Kama Roma kwani aliyesema yeye Ni Nani sio kuwa Ni principle.
So ukienda nchi wanaume wanatoa mgundu na wewe utautoa mgundu wako kwa mwanaume mwenzake?
Mana si unaishi Kama Roma ukiwa Roma ama niaje. Usikariri unabeba Shana ama kauli Kama ilivyo unakuja nayo mazima mazima.
 
Shida ni kuwa afande unajipandisha juu wakati bado maafande wote tuna njaa sana na hakuna maisha tunaishi ya raha zaidi ya kuunga unga na tumishahara njaa .

Sasa mtu akisema mambo si unamjibu unasema poa alafu unamwambia nyooka kwenye point mkuu ?

Usisahau kaburi halijashiba afande wote tutakufa tu , sasa habari za watu hawana muda wa kuchati wao wana mda gani sasa ? Maaana kufa hawataki na bado wapp duniani .

Ni hayo mkuu wangu , mambo vipi lakini mkuu ? Mimi nataka zile gari za mkopo bwana "
 
Kijana una maneno makali makali, kumbe ndio sababu hupendi salamu.
Kinywa chako ni kichafu kama choo cha mabibo sokoni.
 
Kijana una maneno makali makali, kumbe ndio sababu hupendi salamu.
Kinywa chako ni kichafu kama choo cha mabibo sokoni.
Binadamu ama ubongo wa binadamu huwa unaelewa kwenye Raha ama kwenye maumivu. Ndio Mana unaona jeshini watu wanafundishana kwa matusi na wanaelewa mno.
Bila kuongea ivyo usingeelewa . Niambie unaishi Kama waroma ukiwa Roma so unakubaliana na kauli iyo. Jikite hapo Sasa sema iyo nimemtumia psychology tricky
 
Kijana una maneno makali makali, kumbe ndio sababu hupendi salamu.
Kinywa chako ni kichafu kama choo cha mabibo sokoni.
Hata choo hicho nadhani Ni kisafi like 10^900000000 times ya kinywa icho. Let it be according to your beliefs and thoughts
 
Inakera kuona mtu mzima anaandika Uzi wa kipumbavu kama huu.

kwani kujibu hiyo salamu kuna shida gani?

Unajikuta ni perfectionist kumbe unalolote, kuwa humble maisha yenyewe ni mafupi .
 
Huu ujumbe umfikie huyu kijana. Sitajibu msg yake hadi aseme nini anataka sina muda wa kuchat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…