Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Wewe ndio m.kiti wa umoja party?Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Tulia weweWewe ndio m.kiti wa umoja party?
Au chair wa S/wing?Tulia wewe
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Ondoa hofu, usije ukapagawa kabla ya 2025Au chair wa S/wing?
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Usajili utakamilika soonWahamie chama ambacho hata hakina usajili wa kudumu. Hata usajili wa muda wa mwaka mmoja hawajapewa wewe unataka wahamie huko. Halafu Mwita Waitara Hana ushawishi wa kushinda Jimbo lolote acha tu.
Jina lako linafanana na Yule Victoria France na pia usiwadanganye hao bila wizi hawarudi kamwe na Maza ashasema yupo tayari kupoteza kiti CCM Ila mazingira Sawa ya uchaguzi nakuambia wale wasaliti wote na Slaa pia akiwa huko chaliMuanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Umemaliza kila kituAmelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Mshenga kama Gwajix 2015Wewe ndio m.kiti wa umoja party?
Subiri Umoja Party isajiliwe.Jina lako linafanana na Yule Victoria France na pia usiwadanganye hao bila wizi hawarudi kamwe na Maza ashasema yupo tayari kupoteza kiti CCM Ila mazingira Sawa ya uchaguzi nakuambia wale wasaliti wote na Slaa pia akiwa huko chali
Lini wajumbe walikosa nguvu?Adi sasa wabunge wa kununuliwa hawaelewi hatima yao. Nafikiri ata utaratibu alioweka magufuli majina kuamuliwa na kamati kuu baada ya kura za maoni jimboni kupigwa utatupiliwa mbali.
Wajumbe tunapewa nguvu tena. Tukutane muheza tanga
Wewe mpuuzi unayetumia mavi kufikiri unajua nini? Umesahau alivyoisambaratisha Cdm huko Tarime?Huyo mlevi mbwa hana ushawishi hata kwenye familia yake.
Umoja Party haipati usajili. Jiungeni katika chama cha msukuma mwenzenu, baba yenu Cheyo...UDP. wasukuma hamjui kucalculate kabisa. chama mnacho tayari kisha mnataka kuunda kingine.Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Kwanza dhambi yao ya kwanza Kwa waTanzania ni kutoamini katika kupatikana katiba mpya,pili mrengo wa ukanda/ukabilaHilo genge lenu la wahuni na vilaza mnalipa promo ya kishamba sana,mtaishia kama CCK tu
Sema alivyo ilasiti,acha longo longo😂Wewe mpuuzi unayetumia mavi kufikiri unajua nini? Umesahau alivyoisambaratisha Cdm huko Tarime?