Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
 
Wewe ndio m.kiti wa umoja party?
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.

Wahamie chama ambacho hata hakina usajili wa kudumu. Hata usajili wa muda wa mwaka mmoja hawajapewa wewe unataka wahamie huko. Halafu Mwita Waitara Hana ushawishi wa kushinda Jimbo lolote acha tu.
 
Usajili utakamilika soon
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Jina lako linafanana na Yule Victoria France na pia usiwadanganye hao bila wizi hawarudi kamwe na Maza ashasema yupo tayari kupoteza kiti CCM Ila mazingira Sawa ya uchaguzi nakuambia wale wasaliti wote na Slaa pia akiwa huko chali
 
Subiri Umoja Party isajiliwe.
 
Adi sasa wabunge wa kununuliwa hawaelewi hatima yao. Nafikiri ata utaratibu alioweka magufuli majina kuamuliwa na kamati kuu baada ya kura za maoni jimboni kupigwa utatupiliwa mbali.

Wajumbe tunapewa nguvu tena. Tukutane muheza tanga
 
Lini wajumbe walikosa nguvu?

Dr Mwakyembe alifanyiwa nini na hao wajumbe pamoja na degrees zake zote [emoji848]
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Umoja Party haipati usajili. Jiungeni katika chama cha msukuma mwenzenu, baba yenu Cheyo...UDP. wasukuma hamjui kucalculate kabisa. chama mnacho tayari kisha mnataka kuunda kingine.
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.

Unadhani Waitara ni mjinga wa hivyo, unadhani hajui ugumu wa kushinda kupitia vyama vya matumaini? Alishinda kihalali akiwa cdm kutokana na nguvu ya cdm. Akarudishwa bungeni kihuni na Magufuli baada ya kuisaliti cdm. 2020 akazawadiwa tena ubunge kwenye ule uchaguzi wa kihayawani. Anajua fika nje ya cdm anapoweza kushinda kihalali, na ccm kwenye mbeleko ya vyombo vya dola hawezi kutoboa popote.
 
Back
Top Bottom