R ruaharuaha JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 3,586 Reaction score 3,857 Apr 26, 2022 #61 Tunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali.
Tunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Apr 26, 2022 #62 Wameisha hawa.
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Apr 26, 2022 #63 Nyankurungu2020 said: Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa. Click to expand... Ulimpa Sitta ushauri wa hivi-kila mtu najua kilichotokea ukampa Membe ushauri kama huu- kila mtu anajua kilichotokea unatoa ushauri huu tena- wapo watakao kusikiliza ila matokeo yake unayajua Sina hakika kama kushauri nayo ni haki ya binadamu kama kutoa maoni- ila endelea oksjeni ni ya bure
Nyankurungu2020 said: Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa. Click to expand... Ulimpa Sitta ushauri wa hivi-kila mtu najua kilichotokea ukampa Membe ushauri kama huu- kila mtu anajua kilichotokea unatoa ushauri huu tena- wapo watakao kusikiliza ila matokeo yake unayajua Sina hakika kama kushauri nayo ni haki ya binadamu kama kutoa maoni- ila endelea oksjeni ni ya bure
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Apr 26, 2022 #64 Nyankurungu2020 said: Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa. Click to expand... Never on Earth! Hayo Ni majimbo ya Chadema Kama Kuna uhuru wa kuchagua
Nyankurungu2020 said: Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa. Click to expand... Never on Earth! Hayo Ni majimbo ya Chadema Kama Kuna uhuru wa kuchagua
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Apr 27, 2022 #65 ruaharuaha said: Tunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali. Click to expand... hakika
ruaharuaha said: Tunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali. Click to expand... hakika
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Apr 27, 2022 #66 econonist said: Cheyo hatawakubalia maana naye yupo kwenye coaliation na CCM . Click to expand... balaa juu ya balaa
econonist said: Cheyo hatawakubalia maana naye yupo kwenye coaliation na CCM . Click to expand... balaa juu ya balaa