- Thread starter
- #41
Ajira ninayo na Niko nashauri upande wangu. Kama wewe Ni mkulima hope una uzoefu na sekta hiyo so to ushauri wakoWe nawe tahira
Badala ungeshauri hata serikali iwekeze nguvu zaidi katika kilimo na uzalishaji mazao ya viwango tuwe tunauza nchi za nje na kupata faida kukuza uchumi
Usikute hapo ulipo hata ajira yenyewe huna unanunuliwa vocha na dadako mfyuu