Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

We nawe tahira
Badala ungeshauri hata serikali iwekeze nguvu zaidi katika kilimo na uzalishaji mazao ya viwango tuwe tunauza nchi za nje na kupata faida kukuza uchumi

Usikute hapo ulipo hata ajira yenyewe huna unanunuliwa vocha na dadako mfyuu
Ajira ninayo na Niko nashauri upande wangu. Kama wewe Ni mkulima hope una uzoefu na sekta hiyo so to ushauri wako
 
Wewe sema mishahara ya wabunge ipunguzwe.... Wengine waachwe..... Hao wapiga kelele bungeni wapunguziwe kuanzia mishahara, posho pamoja na kiinua mgongo
 
Kwa mwendo huuu wa kurundikiana mikodi ya ajabuajabu hakuna mtu atakuja wekeza hapa
Wewe kamshauri raisi wako atengeneze mazingira ya uwekezaji Hili investors wawe wengi na taxbase iwe kubwa hatimae hata revenue itaongezeka, na hatapata shida ni wapi pakutoa hela ya kununulia mandege na mabehewa ya treni za mwaka 47.
 
Naunga mkono hoja! Watumishi wote wapunguzwe mshahara kwa asilimia 25% ili hiyo 25% iende kwenye maendeleo.

Sisi wananchi hatuna shida sana na mshahara kwa kuwa mahitaji ya msingi ni chakula tu ambacho awamu hii kimeshuka sana bei.

Watanzania tujitolee kufunga mkanda ili nchi yetu ipate maendeleo kwa haraka kama Mh rais anavyotuasa.

Au nakosea wazalendo wenzangu? 😊
K******""mayo wewe
 
Mimi mwenyew Ni muajiriwa ila wanatakiwa kutanguliza Uzalendo mbele kwanza. Mitano Tena I we yenye manufaa zaidi
Uzalendo ni kutaka mtumishi alipwe kidogo ndugu? Sijui ni lini tutajua kuwa nchi hii ni masikini na watumishi hasa wa umma mishahara yao ni vichekesho! Gardener wa hapo Botswana analipwa vizuri kuliko mwalimu wa nchi hii!
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Naunga mkono hoja. Huu ndiyo uzalendo wa Lumumba unaotakiwa. Aliounguziwa mshahara Nyerere sembuse sisi watumishi waaminifu wa sirikali
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.

Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Mimi nashauri hata bunge raisi alivunje ili pesa yote itumike kujenga nchi, tujiulize kipindi hiki cha jiwe bunge linafanya kazi gani?
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Walipowapangia kuwalipa hivyo hawakujua consequence yake?
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Aloo! kati ya siku ambazo umeandika point ni leo. Yani hawa watu sioni haja ya kuendelea kuwadekeza cha msingi mh Rais awapunguzie mishahara yao kabisa, kwa maendeleo ya taifa Tz.
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Je hao wanaoipata hiyo misahara mikubwa wanaingiza kiasi gani nchi, unaweza kuta wanaingiza nchi pesa nyingi kutokana na kipato chao
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Unajua laki 8 baada ya makato inabaki kiasi gani?
Kweli uko serious na hii thread yako mkuu?
Una roho mbaya sana mtoa mada
 
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.

Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Mkuu unajua madhara ya kupunguza kiwango cha mishahara?Inaa maana unapunguza uwezo wa manunuzi wa hawa watu.Hio itapunguza uwezo wa wa kulipa kodi baada ya hapo utataka kupunguza tena maana na makusanyo ya kodi yatapungua.

Kabla ya kutoa ushauri nenda kasome kanuni za uchumi.

Kila la heri
 
Back
Top Bottom