Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake.
Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke kero zake. Labda kama unafanya maigizo ya kuwapanga watu kama meko (scripted).
Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke kero zake. Labda kama unafanya maigizo ya kuwapanga watu kama meko (scripted).