Ushauri kwa Rais Samia. Akae na viongozi wa taasisi na wadau bila vyama vya siasa apate mawazo mapya

NDOTO KAVU

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
1,513
Reaction score
1,121
Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa.

Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao.

Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira nchi ataitupa porini kwa sababu wale jamaa hawataki kuachia ugali wao.

Kwanza akae na wadau na viongozi wa taasisi mbalimbali asishirikishe vyama vya siasa hata kimoja aanzie hapo.

Bunge na chama chake wameshindwa kumtetea kwa sababu ya kufanyakazi kwa mazoea na kulinda maslahi yao. Wakaiweka katiba ya nchi pembeni kwanza.

Tunaomba tuzungumzie hili la wadau na taasisi mbalimbali wakampe joto mama.
 
Aliyekuwa na huo uwezo ni magufuli

Yeye alichukua watu kutoka vyuoni taasisi mbali mbali na kuwatumia vile anavyoona inafaa

Brigedia wa JWTZ akavishwa gwanda la magereza

Mtangazaji akawa DC

Gwajima akawa mbunge

Tulia kuwa mbunge

Prof kuwa waziri

Wstu wa chadema kuwa ma DC
 
Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa.

Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao.

Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira nchi ataitupa porini kwa sababu wale jamaa hawataki kuachia ugali wao.

Kwanza akae na wadau na viongozi wa taasisi mbalimbali asishirikishe vyama vya siasa hata kimoja aanzie hapo.

Bunge na chama chake wameshindwa kumtetea kwa sababu ya kufanyakazi kwa mazoea na kulinda maslahi yao. Wakaiweka katiba ya nchi pembeni kwanza.

Tunaomba tuzungumzie hili la wadau na taasisi mbalimbali wakampe joto mama.
Hawezi kukusikiliza wewe tena; amekwishaingia kwenye saa mbaya kabisa!

Jambo rahisi pekee analoweza kufanya yeye ni kukubali MAREKEBISHO MUHIMU yatakayo ruhusu UCHAGUZI UWE HUR na HAKI.
Muulize kwa nini hataki jambo jema kama hili lifanyike.
 
Back
Top Bottom