Kila mwenye mamlaka ya kisheria lazima ayatekeleze kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo.Kabisa Serikali siyo ghetto la masela. Eti mnaachiana tu, kama kawa!
Everyday is Saturday............................... 😎
Ukiangalia kwa jicho la 3, unaweza amini kuna kakikundi fulani ka Chama kanahangaika SANA, ilimradi mama Raisi aonekane incompetent na anahitaji msaada haka ndiko kakikundi ka kuangaliwa kwa umakini. Kanataka makada haswa wamuabudio kiongozi wa malaika.Kila mwenye mamlaka ya kisheria lazima ayatekeleze kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo.
Na kundi la kiongozi wa malaika liko on guard kuhakikisha mama anashindwa kazi ili liendelee kuneemeka.Ukiangalia kwa jicho la 3, unaweza amini kuna kakikundi fulani ka Chama kanahangaika SANA, ilimradi mama Raisi aonekane incompetent na anahitaji msaada haka ndiko kakikundi ka kuangaliwa kwa umakini. Kanataka makada haswa wamuabudio kiongozi wa malaika.
Everyday is Saturday............................... 😎
Issue ya kutoa maelekezo kanisani karibia nizimie!! Mwenda zake nae alikuwa anawanyang'anya mic makuhani na mahasheraMpango ni mbovu kuliko watu wote
Waliohusika wasionewe huruma!! Ni dhihaka kwa mheshimiwa rais wa nchi!! Waondolewe hao "sukuma gang"Na kundi la kiongozi wa malaika liko on guard kuhakikisha mama anashindwa kazi ili liendelee kuneemeka.
Mama angefyatua wote wale senior walioachwa na jiwe aunde safu mpya tiifu kwake vinginevyo atapata tabu sana.
Ona kapelekwa cv ya mwanafunzi wa chuo kumteua kwenye nafasi nyeti kama DG wa TPDC .
Mama asione haya kufurusha team ya malaika jiwe.Waliohusika wasionewe huruma!! Ni dhihaka kwa mheshimiwa rais wa nchi!! Waondolewe hao "sukuma gang"
Mpango apendekeze alafu Rais anaruhusu au kutoa ushauri
DC wa Kahama ana shida ipi? Mbona wana Kahama tunaona Anamringi Macha anatosha?
Huyo jamaa anataka wamuingize chaka Rais.Kwaiyo unataka kutuaminisha kwa Rais hawezi kuteuwa hao wakurugenzi wenye sifa Hadi amwachie hilo jukumu VP? Acha dharau wewe,mjinga mkubwa. Mbona maraisi waliopita kabla yake hamkuwashauri huo utumbo wenu?
Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Huna haya wala adabu..
Mpango ana kitu gani special?
Au unafikiri teuzi Rais anateua Kwa kuwa anawajua?
Anapewa majina na washauri..
Hata mpango Hana anaowajua..
Una akili ndogo sana kumbe
Kwakua umeunga unga elimu ukapata hiyo labour economics basi unatafuta njia ujipenyeze humo humo ktk teuzi sio?Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.
Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics
TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics
Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics
Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Mie nashauri rais aachane na mitandao ya kijamii, itampoteza! Kila mtu anashauri lake..Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Hiyo ni kazi ya rais sio ya makamu wa rais!Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Yaan huyu Dr Mpango mwenye tabia za JPM kuchukia upinzani ateue ma ded si atajaza ma uvccm kote waanze Tena kupora uchaguzi kuengua wagombea,huyo dr Mpango ana tabia za kibabe kabisaHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Timu JPM inamuogopa Samia kuliko Mpango aliyetangaza wazi kuendelea kumuenzi Mwendazake.
Tulieni, Urais hauna ushkaji, Mamlaka za uteuzi za hao watu ni Rais siyo Mpango