Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Kabisa Serikali siyo ghetto la masela. Eti mnaachiana tu, kama kawa!

Everyday is Saturday............................... 😎
Kila mwenye mamlaka ya kisheria lazima ayatekeleze kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo.
 
HAPANA

Nafasi za MaDED na wakuu wa taasisi zitangazwe kwenye vyombo vya habari, watu watume maombi utumishi, usaili ufanyike kisha wathibitishwe na waziri wizara husika akishirikiana na kamati za bunge.
samia
 
Kila mwenye mamlaka ya kisheria lazima ayatekeleze kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo.
Ukiangalia kwa jicho la 3, unaweza amini kuna kakikundi fulani ka Chama kanahangaika SANA, ilimradi mama Raisi aonekane incompetent na anahitaji msaada haka ndiko kakikundi ka kuangaliwa kwa umakini. Kanataka makada haswa wamuabudio kiongozi wa malaika.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ukiangalia kwa jicho la 3, unaweza amini kuna kakikundi fulani ka Chama kanahangaika SANA, ilimradi mama Raisi aonekane incompetent na anahitaji msaada haka ndiko kakikundi ka kuangaliwa kwa umakini. Kanataka makada haswa wamuabudio kiongozi wa malaika.

Everyday is Saturday............................... 😎
Na kundi la kiongozi wa malaika liko on guard kuhakikisha mama anashindwa kazi ili liendelee kuneemeka.

Mama angefyatua wote wale senior walioachwa na jiwe aunde safu mpya tiifu kwake vinginevyo atapata tabu sana.

Ona kapelekwa cv ya mwanafunzi wa chuo kumteua kwenye nafasi nyeti kama DG wa TPDC .
 
Waliohusika wasionewe huruma!! Ni dhihaka kwa mheshimiwa rais wa nchi!! Waondolewe hao "sukuma gang"
 
Waliohusika wasionewe huruma!! Ni dhihaka kwa mheshimiwa rais wa nchi!! Waondolewe hao "sukuma gang"
Mama asione haya kufurusha team ya malaika jiwe.

Kundi kubwa lilikuwa incompetent badala yake lilijificha katika kupika uongo na kumsifia Malaika Jiwe.
 
Mpango apendekeze alafu Rais anaruhusu au kutoa ushauri

Katiba inataka hivyo? Au bado uko kwenye hangover ya zama za Maguvu bila akili? Au mna agenda yenu ya siri na Mpango kutaka kuendeleza ukatili wa jiwe hapa nchini?
 
Huyo Samia awe makini sana na Huyo NZABAYANGA NTIBAZONKIZA mpango .

Narudi awe makini sana

Nasems Tena awe makini sana

Asante
 
Kwaiyo unataka kutuaminisha kwa Rais hawezi kuteuwa hao wakurugenzi wenye sifa Hadi amwachie hilo jukumu VP? Acha dharau wewe,mjinga mkubwa. Mbona maraisi waliopita kabla yake hamkuwashauri huo utumbo wenu?
Huyo jamaa anataka wamuingize chaka Rais.
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.

Hapana Mkuu...
Mimi nashauri tuu Kwenye nafasi za Uteuzi wa Mashirika,Mabalozi,Nk
Elimu iwe ni Uchumi,Biashara,Haswa Shahada za Uzamili yaani Masters!
Hii itamsaidia sanaaaa kuketa ufanisi!
Tupo Kwenye Uchumi wa Viwanda!Uchumi wa Biashara!
Pia Waangalie hata Makamouni Tanzu nayo yamulikwe...
 
Huna haya wala adabu..
Mpango ana kitu gani special?

Au unafikiri teuzi Rais anateua Kwa kuwa anawajua?
Anapewa majina na washauri..
Hata mpango Hana anaowajua..

Una akili ndogo sana kumbe

Mkuu huyo jamaa anataka mpango kwasababu Moango Ana Phd,Kasoma Economics,Kasoma Udsm!
Ukiangalia uchangiaji wa jamaa ndio mambo anayopigania!
Wamuache mama!Watoe tuu ushauri Mama Atapima na sio Kumnyang’anya majukumu!
Uko Vema Mkuu
 
Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.

Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics

TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics

Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics

Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Kwakua umeunga unga elimu ukapata hiyo labour economics basi unatafuta njia ujipenyeze humo humo ktk teuzi sio?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Mie nashauri rais aachane na mitandao ya kijamii, itampoteza! Kila mtu anashauri lake..
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Hiyo ni kazi ya rais sio ya makamu wa rais!
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Yaan huyu Dr Mpango mwenye tabia za JPM kuchukia upinzani ateue ma ded si atajaza ma uvccm kote waanze Tena kupora uchaguzi kuengua wagombea,huyo dr Mpango ana tabia za kibabe kabisa
 
Timu JPM inamuogopa Samia kuliko Mpango aliyetangaza wazi kuendelea kumuenzi Mwendazake.

Tulieni, Urais hauna ushkaji, Mamlaka za uteuzi za hao watu ni Rais siyo Mpango

Anaweza ku - delegate, hakuna tatizo...

By the way, ktk tawala zote appointments zote iwe wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete ama Mwendazake Pombe, usifikiri kuwa walikuwa wakifanya wao personally kila appointment...

Watu hususani kama DCs, DEDs na M/Viti wa dodi za taasisi na mashirika huweza kufanywa na mawaziri wa kisekta tu kisha Rais aka - approve...

Tanzania hii ya watu karibu milioni 60 ni kubwa mno, si rahisi kila kitu akafanya Rais efficiently...

Mimi ninachodhani, ili haya mambo yaende vizuri na taifa kupata viongozi wazuri na makini na efficient, mfumo wa ufuatiliaji tabia na mienendo au sifa za watu chini ya TISS ili kuwapa uongozi (vetting system) unatakiwa kufanya kazi kizalendo kwelikweli na kuacha kabisa kuongozwa na siasa uchwara za kiCCM..

Kama hili halitakuwa vile, hata kama kila appointment itafanywa na Rais moja kwa moja, ataboronga tu maana Rais hawezi kuwa na details za kila mtanzania...!
 
Back
Top Bottom