NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
- Thread starter
-
- #21
Tayari nimeongeza nondo!Mkumbushe aiweke wazi Ile Ripoti ya nini kilikuwamo Kwa KIBUBU wakati anakabidhiwa urithi wa family.
Maybe tutajua njia za kudeal na MIKOPO isokuwa na kikomo.
Punguza mishahara ya wanasiasa wapate angalau robo ya wanachopata Sasa hivi,ondoa posho zote !mikopo yote ya wanasiasa na walipe kodi rasmi ya huo mshahara maana siasa ndio kichaka cha fedha nyingi NCHI HII!!
JPM aliwapunguzia wanasiasa mishahara?Oya
Mi naweza na hawatonifanya kitu!!!
Mbona KWA JPM waliufyata wote wakaimba mapambio!!?
Na Mimi wataniimbia tena watasema naupiga Mwingi kama pele na huku nimeshusha mishahara yao!!
Ushauri wa hovyo huu.Aisee.....umemsaidia sana kwa huu ushauri.
Hapa hana wa kumlaumu, asipoufuata huu ushauri basi, atakuwa ameamua mwenyewe...
Mungu ni Mwema sana...amepata bahati yakuelezwa kweli na mtoa Post...
Kazi ni kwake ama kazi iendelee, achague kweli aepuke laana..
Machozi ya Wafanyakazi ni dalili mbaya...
Nchi itaangamia kwa Viongozi kukosa MAARIFA na Maono....sijui kwa nini hakuchagua Waziri Mkuu..
Hakuliona Hilo! Mimi naweza kulifanya kirahisi tu!!JPM aliwapunguzia wanasiasa mishahara?
Kwa akili hizi TZ itaendelea kuwa chakula cha mabeberu hata zaidi ya millennium.Ushauri wa hovyo huu.
Kwa nini hamkumshauri Magufuli kuchunguza kupigwa risasi Tundu Lisu?
Tuacheni na Amani yetu Warundi nyie.
Eti Polepole arudishwe kwenye nafasi yake!!!
Mnataka aje aendeleze biashara ya kununua watu?
Hebu mtaje na mwingine aliyewahi kupigwa risari zaidi ya 30 Mchana kweupe ktk eneo lenye ulinzi wa SerikaliKwa akili hizi TZ itaendelea kuwa chakula cha mabeberu hata zaidi ya millennium.
Unadhani hizo risasi ni Tundu Lisu pekee ndiye kawahi kupigwa nazo TZ yote na hakuna wengine waliotandikwa kama yeye au zaidi yake?
Au huwa mnajizima data kwa sababu ya uchawa tu huo hadi mshindwe kuficha upumbavu wenu mbele zetu sisi wa-TZ wazalendo?
Alipiga pin safari zote za nje na seminar za kufanyika mahoteli makubwa, unajua aliokoa kiasi gn?JPM aliwapunguzia wanasiasa mishahara?
Hiyo ndio mishahara? So aliokoa kiasi gani?Alipiga pin safari zote za nje na seminar za kufanyika mahoteli makubwa, unajua aliokoa kiasi gn?
Huoni hizo flyover, dar foleni imepungua tofauti na zamani.Hiyo ndio mishahara? So aliokoa kiasi gani?
Ukishakaa pale juu hakuna awezaye kukutisha labda nawe uwe ni muoga wa kurogwa tu !!Oya
Mi naweza na hawatonifanya kitu!!!
Mbona KWA JPM waliufyata wote wakaimba mapambio!!?
Na Mimi wataniimbia tena watasema naupiga Mwingi kama pele na huku nimeshusha mishahara yao!!
UMENENA !!! Hata mimi huwa najiuliza Hao wakubwa wanapokwenda huko duniani kwa waliotuzidi kila kitu je huwa wanajifunza nini kutoka kwao ??! Wenzetu hawana mchezo kwenye nidhamu ya matumizi ya pesa za Nchi !! Sisi huwa tunajifunza nini kutoka kwao ??!! Suti na Tai ??!! Au !!Pia serikali iache kununua magari ya kifahari, samani za ofisini za kifahari, ziara za kwenda Dodoma makao makuu zisitishwe watumie zoom, email na mitandao, nyumba za serikali za wakubwa viuzwe, watendaji wa serikali kuu na za tawala za mikoa wajipangie nyumba wenyewe kwa kulipa kodi au kukopa mikopo ya muda mrefu NHC mortgages n.k
Listi ni ndefu sana ya jinsi ambavyo serikali inaweza kupunguza matumizi na hii siyo kubana bali kuondokana na matumizi haya ya anasa. Ukienda ofisi ya serikali Denmark, Ufaransa, Ubelgiji utaona ofisi zina samani / fenicha zisizo ghali wala za kifahari na hawa ndiyo wanaotupa misaada au kuitwa wawe wadau wa maendeleo Tanzania lakini hawa wadau wana nidhamu kubwa ya matumizi ya kodi kwa kutojinunulia fanicha za ofisi, magari n.k ya kifahari.
Kwa KATIBA yetu, kabla hujapiga hiyo kura, ni raisi shauri lenyewe lifike kwa raisi! Yeye sasa ataamua, ama muendelee na mchakato au yeye avunje bunge!wanaweza kupiga Kura ya kutokuwa na Imani na raisi na akang'oka kesho asubuhi......
Wabunge nkkwamfano wanasiasa gani?
Wengine woote sawa ila kwa Musukuma mmmmhhhh...!!!!! Hivi Dr. Musukuma anajua kusoma na kuandika kweli?Dr.Kimei -fedha,Kalemani -nishati, Msukuma -Habari!
Unaonaje Hapo!!?
Atanishukiru Baadae,Lukuvi-Ardhi!!