Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

Baadhi ya vipengele uko sawa Ila sasa hivi Kuna vifaa vya ujenzi vinashuka Bei kwa Kasi we fanya utafiti
 
Kama Mwendazake mwenyewe alilaaniwa na mama yake anaweza kutoa laana kwa nani?
 
Yaani wewe ndo uje hata kuchukua form ya kugombea, walah nahama nchi.

Rais ameshafeli maana amezungukwa na wasaidizi wanaomshauri ili aanguke, ni wakati wa kulishauri Bunhe kumsaidia Rais, kuna maamuzi anapaswa kupeleka Bungeni tena aitishe Bunge la dharura kuhusu state of Nation
 
Wakati wa awamu ya tatu hiyo mishahara ya wanasiasa haikushushwa bali watumishi wa umma mishahara yao ilibaki ikipiga makitaimu.
 
Ashushe mishara ya mabosss sidhani😎😎😎
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Nilikuwa nawaza Nini!!?

AISEH uzi huu wa moto Sana!!
 
Laana ya damu ya JPM haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…