Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeharibu ulivyomtetea "maleemu"!😂😂😂😂Endeleeni kumpa kichwa!
Nakoleza Moto wa WIMBO HUU;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!
Kama Mwendazake mwenyewe alilaaniwa na mama yake anaweza kutoa laana kwa nani?Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame tu hakuna Namna nyeti zitaonekana laivu bila chenga!!
Sasa wewe ni Mwanasiasa mlamba asali!inatosha Sasa fanya hima uokoe kichwa!
Punguza mishahara ya wanasiasa wapate angalau robo ya wanachopata Sasa hivi,ondoa posho zote !mikopo yote ya wanasiasa na walipe kodi rasmi ya huo mshahara maana siasa ndio kichaka cha fedha nyingi NCHI HII!!
Halafu peleka fedha zote KWENYE mafuta na unda squad ya siri kufuatilia wafanyabiashara wanao hujumu Bei washughulikiwe kisawa sawa!!
Pia ondoa walamba asali weka vyuma haswa Ili kusimamia uchumi!Ondoa Mwigulu aende akachore mawe huko,ondoa makamba aende beach huko akavinjari,Ondoa na nape akabangue korosho huko!!
Pia tuletee ripoti ya fedha za hazina ulizorithi kutoka kwa shujaa Ili tujue kwanini unakopa tuu bila kukoma hadi nchi inakaribia shimoni!weka wazi report ile Ili wachumi wazalendo wakusaidie kuliongoza Taifa.
Weka watu wanaotema cheche wenye kueleweka kwenye wizara za Fedha,habari na nishati!!
Rudisha H.pole pole kwenye nafasi yake aondoe wahuni Halafu omba msamaha kwa kukopa hovyo bila tija maana hiyo mikopo haijamsaidia mwananchi!!
Piga u-turn ya kufa mtu!uje unishukuru Baadae humu humu jf!!
Pia jitahidi umrudishe Warioba kwenye KAZI yake huyo mkandala Mwambie arudi Udsm akafundishe hapo hapamfai!!!
Nimemaliza!
Ni mimi mzalendo!!
Deni la taifa unajua Magufuli alikopa kiasi gani? Fly over ipi imejengwa kwa fedha za ndani?Huoni hizo flyover, dar foleni imepungua tofauti na zamani.
Huyu amejenga hata km 1 mpya?
Yaani wewe ndo uje hata kuchukua form ya kugombea, walah nahama nchi.Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame tu hakuna Namna nyeti zitaonekana laivu bila chenga!!
Sasa wewe ni Mwanasiasa mlamba asali!inatosha Sasa fanya hima uokoe kichwa!
Punguza mishahara ya wanasiasa wapate angalau robo ya wanachopata Sasa hivi,ondoa posho zote !mikopo yote ya wanasiasa na walipe kodi rasmi ya huo mshahara maana siasa ndio kichaka cha fedha nyingi NCHI HII!!
Halafu peleka fedha zote KWENYE mafuta na unda squad ya siri kufuatilia wafanyabiashara wanao hujumu Bei washughulikiwe kisawa sawa!!
Pia ondoa walamba asali weka vyuma haswa Ili kusimamia uchumi!Ondoa Mwigulu aende akachore mawe huko,ondoa makamba aende beach huko akavinjari,Ondoa na nape akabangue korosho huko!!
Pia tuletee ripoti ya fedha za hazina ulizorithi kutoka kwa shujaa Ili tujue kwanini unakopa tuu bila kukoma hadi nchi inakaribia shimoni!weka wazi report ile Ili wachumi wazalendo wakusaidie kuliongoza Taifa.
Weka watu wanaotema cheche wenye kueleweka kwenye wizara za Fedha,habari na nishati!!
Rudisha H.pole pole kwenye nafasi yake aondoe wahuni Halafu omba msamaha kwa kukopa hovyo bila tija maana hiyo mikopo haijamsaidia mwananchi!!
Piga u-turn ya kufa mtu!uje unishukuru Baadae humu humu jf!!
Pia jitahidi umrudishe Warioba kwenye KAZI yake huyo mkandala Mwambie arudi Udsm akafundishe hapo hapamfai!!!
Nimemaliza!
Ni mimi mzalendo!!
Wakati wa awamu ya tatu hiyo mishahara ya wanasiasa haikushushwa bali watumishi wa umma mishahara yao ilibaki ikipiga makitaimu.Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame tu hakuna Namna nyeti zitaonekana laivu bila chenga!!
Sasa wewe ni Mwanasiasa mlamba asali!inatosha Sasa fanya hima uokoe kichwa!
Punguza mishahara ya wanasiasa wapate angalau robo ya wanachopata Sasa hivi,ondoa posho zote !mikopo yote ya wanasiasa na walipe kodi rasmi ya huo mshahara maana siasa ndio kichaka cha fedha nyingi NCHI HII!!
Halafu peleka fedha zote KWENYE mafuta na unda squad ya siri kufuatilia wafanyabiashara wanao hujumu Bei washughulikiwe kisawa sawa!!
Pia ondoa walamba asali weka vyuma haswa Ili kusimamia uchumi!Ondoa Mwigulu aende akachore mawe huko,ondoa makamba aende beach huko akavinjari,Ondoa na nape akabangue korosho huko!!
Pia tuletee ripoti ya fedha za hazina ulizorithi kutoka kwa shujaa Ili tujue kwanini unakopa tuu bila kukoma hadi nchi inakaribia shimoni!weka wazi report ile Ili wachumi wazalendo wakusaidie kuliongoza Taifa.
Weka watu wanaotema cheche wenye kueleweka kwenye wizara za Fedha,habari na nishati!!
Rudisha H.pole pole kwenye nafasi yake aondoe wahuni Halafu omba msamaha kwa kukopa hovyo bila tija maana hiyo mikopo haijamsaidia mwananchi!!
Piga u-turn ya kufa mtu!uje unishukuru Baadae humu humu jf!!
Pia jitahidi umrudishe Warioba kwenye KAZI yake huyo mkandala Mwambie arudi Udsm akafundishe hapo hapamfai!!!
Nimemaliza!
Ni mimi mzalendo!!
Ashushe mishara ya mabosss sidhani😎😎😎Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!

Laana ya damu ya JPM haikwepeki.Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!