They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.Tuache utani kuwataja top officials kirahisi namna ile kwa mtu kama yeye aliekula kiapo sijui aliwaza nini, haya ni kweli alitumwa kufanya ile mission lazima kuna vyombo vina taarifa kwahiyo end of the day wangemtema lakini tatizo ana kiwewe karopokwa tena anataja hadi waliopo bado madarakani hapo kishawachafua tayari sijui lakini itakula kwake
Akikaa vibaya anaweza kuunganishwa kwenye hii kesiNimefurahi sana Mpango na Luoga kutajwa , waje wajitetee tuone , tulionya kuhusu uteuzi wa Dr Mpango kuwa Makamu wa Rais , hii ni kwa sababu huyu alihusika na uporaji wote wa fedha za watu kuanzia kwenye akaunti zao hadi Bureu De Change
Waunganishwe kwenye kesiSasa kama walimtuma na ameshikwa afanyaje sasa
Order from the above.....Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Huyu Mpango , Jiwe na Luoga ni washirika wa Sabaya , kuwaacha nje ni makosa makubwa sanaAkikaa vibaya anaweza kuunganishwa kwenye hii kesi
Kafika ukingoni mwa river JordanHuyo hana tena cha kupoteza, na ndio maana kaona aseme liwalo na liwe.
Na ndiyo maana report ya juzi ya CAG aliyoifanya BOT imefinyiwa kwa ndani.Nimefurahi sana Mpango na Luoga kutajwa , waje wajitetee tuone , tulionya kuhusu uteuzi wa Dr Mpango kuwa Makamu wa Rais , hii ni kwa sababu huyu alihusika na uporaji wote wa fedha za watu kuanzia kwenye akaunti zao hadi Bureu De Change
Wewe unaamini anaropoka?Ajifunze kutoka kwenye historia. Waropokaji wengi hua wanaishia mahabusu.
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
bado ana akili za kitoto yule, ndio maana tunasisitiza sana mifumo kuajiri smart people and not just hiring people....
Kwa kifupi Sabaya katuthibitishia kuwa Mwendazake aliku katili sana...Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
[emoji3][emoji3][emoji3]km mbwai mbwai tusizani kama kuna kosa kuwataja waliokuwa wanamtuma sabaya kaamua kumwaga mboga,
Keshawataja ngoja tuone mahakama itasemajeHuyu Mpango , Jiwe na Luoga ni washirika wa Sabaya , kuwaacha nje ni makosa makubwa sana
Ujambazi ni tafsiri yako!Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako
... na hao waliomtuma vipi? Hawana hatia?Hapo kashajifunga sababu kasema alitumwa so inamaana alitekelez kilakitu
Si mpaka ithibitike? Wakikanusha? Ana uthibitisho?... na hao waliomtuma vipi? Hawana hatia?