mimi nashangaa watu hapa kuona ajabu saa baya kutaja hao aliyowataja,ni mtu mupubavu tu ambae hana uelewa wa vile ccm inafanya kazi,ccm ni genge la majambazi, wote hufanya kazi kwa maagizo toka juu, hakuna vile saa baya alikuwa anateka anaua, kubadikia kesi watu, kufanya hata vijana wengine kufungwa jela miaka 30, kwa kesi za kubadikiwa kubuka yule diwani wa chadema saa baya kamubadikia kesi ya kubaka mwanafuzi wa kike, na yule diwani kashida ile kesi sababu binti alisema hajawai lala na mume wingine maishani wake, ajabu dna ilithibitisa yule diwani sio baba mtoto, na kwa wale ambao wana uelewa mdogo je unafikiria mahakama kwa sasa hivi kwa kesi ya mbowe hawapokei maagizo toka ikulu? yawezekana aje ukonga kukakosa gari ya kumupeleka mbowe kortini? wabongo wenzangu tusiwe wajinga au watu weye fikila duni, vile au kile saa baya anasema is just a drop in the ocean of how ccm works, mpango kubuka report ya bot? bona mama samia hakuiweka wazi kwa umma na ile ni hela yetu walipa kodi? anyway lots of us nhave no ability to think in a proper way and mannner, safari bado ndefu sana bongo