Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

wataajiriwa wale wanaojitolea au wapiga tempo kwenye taasisi ili tayari wawe na uzoefu wa kazi!!PLAN INA WEZEKANA KABISA KAMA WADAU WAKIKAA NA KUTUNGA KANUNI NA SHERIA ZA KAZI NA AJIRA NCHINI!!!

Mnhhhhh graduates wengi wana practical element kwenye masomo yao ila hii sidhani kama kumchagua between fresh graduate au graduate ambae aliefanya kazi vizuri for five years muajiri atachagua yupi??,,, ndio una plan yes kwa nchi yetu kufanya kazi?! NO
 
Ila jamaa wawili kuiba billion 50 serikalini inawezekana😅?
Nenda na kipaza sauti bungeni kisha uwaambie billion 50 zimeibwa ambazo zingesaidia Tatizo la ajira LOL....nchi yetu ina ukiritimba mwingi ila ambacho mna suggest hakiko valid, sio kwa nchi yetu
 
Hela inayopotea kwa wizi ingenunua madawa, kuhakikisha maji na umeme ni wa uhakika na unafika kila mahali, vyuo Vinakua free n.k ila isingetumika kuweka policies zitakazowafanya watu wengine wawe stressed and depressed,kisa kupoteza Ajira,Hakuna system hii duniani hakuna, kumpa huyu kazi na kumny'ang'Anya mwingine,,,
 
Daah mada ni nzuri kuichangia,,,mi naona wangepunguza umri wa kustaafu hadi 40yrs maana tuna asume mtu ameanza kazi akiwa na umri wa 25 yrs kwa hiyo atatumikia zaidi ya miaka 15,hivyo akiachishwa kazi atakuwa na nguvu za kuendelea na shughuli nyengine za ujasilia mali,pia ukomo wa madaraka kisiasa iwe kugombea ni awamu moja except presidential post
 
Anakua na mtaji wa kuanzisha ujasiria mali wowote ule sio sawa na kukosa ajira kabisa!!
Unafahamu thamani ya uzoefu kazini? Ukiajiriwa leo mwajiri hatofaidi peak ya utendaji wako mpaka angalau baada ya miaka m5..

Ni sawa na kusajili mchezaji na kumwacha bure aondoke akiwa kwenye peak. Hata hivyo tatizo la ajira litaongezeka teknolojia inavyokua. Itafika kipindi wahasibu hawatahitajika sana sababu ya technology.

Siku ukisikia kazi zote zitafanyika through tin mpaka kumlipa mtu wa kukusaidia kutoa gari lililodumbukia mtaroni na software zikawa bora na efficiency kuhandle hizo details hapo wahasibu watakuwa kwenye hatari kubwa ya ajira.
 
[emoji1666] sawa mr.extrovert ila tusubiri kidogo Hadi 2030..ili tuupeleke mswada bungeni.
Mkuu ni idea tu! Nchi yetu sote hii sasa hamna sababu wengine tule msoto wengine muinjoy wakati degree wote tunazo na tunahitaji kuwa na maisha pia tufanye ambayo wenzetu mnayafanya.
 
Wazi lako Ni zuri kijana tumelisikia ila haliwezekani.
 
Kwa mlengo wa kuongeza ajira yupo sahihi Ila ufanisi katika kazi ndo ameboronga uyu kijana kwaio msamehe ndo amemaliza chuo anatafuta ajira
 
tena wakilipwa mishahara minono
Kuwalipa mishahara minono inaweza isiwe suluhisho kwa sababu tatizo sio ajira chache,tatizo ni kuwa serikali pemgine bajeti ya kuajiri watu wengine haitoshi.

Mfano una watu 10 unawalipa laki kila mtu manake kila mwezi serikali itatoa milioni moja kulipa mishahara,wakati huo kuna watu mtaani hawana ajira pengine pesa haitoshi serikalini.

Sasa ukija wewe ukasema hawa watu 10 wafanye kazi mwezi kisha wapishwe wengine kumi,lakini ukataka hawa 10 walipwe laki mbili kila mtu,hii maana yake kwa mwezi serikali itatoa 2M kulipa mishahara yaani gharama itakuwa kubwa kuliko mwanzo.

Sasa kama ghharama ni kubwa kuliko mwanzo na pale mwanzo serikali iloshindwa kuajiri kwa sababu ya bajeti haitoshi hapo itakuwa hakuna tulishoishauri serikali zaidi ya kuiongezea gharama tu.

Kwa sababu tunaasuume kwamba serikali haiajiri kwa sababu ya pesa ya kuwalipa waajiriwa wapya hakuna,hivyo kuongeza mishahara kwa watu wa idadi ile ile huku wakibadilishana hao gharama ambayo serikali ikiikimbia ndio itakuwa mara mbili.

Ingekuwa bora kwa upande wangu useme kwamba serikali iajiri kwa mkataba kwa mishahara ile ile,au ipunguze mishahara kama mtu anapokea laki tatu apewe laki na nusu ili aajiriwe mwingine,SINA MAANA KWWMBA HAYA NDIO MAAMUZI BORA YA KUTATUA CHANGAMOTO YA AJIRA,ILA TU NIMESHAURI KWA MUJIBU WA UZI WAKO.
 
Acha kudharau mawazo yake. Ana point ya msingi.

Exeption chache kama hizo za madaktari zinaweza kuwekwa.

Ila hii itapunguza sana suala la watu kujisahau makazini.
Mi nawaza hawa maaskari uwalete mtaani
 
Acha kudharau mawazo yake. Ana point ya msingi.

Exeption chache kama hizo za madaktari zinaweza kuwekwa.

Ila hii itapunguza sana suala la watu kujisahau makazini.
Hata madaktari wanapaswa kuajiriwa kwa mikataba tu cv yake ndiyo itambeba kama ana tabia nzuri na awajibika atarenew mkataba wake,pia mtu atajiuza kama bidhaa kutokana na uwezo wake na experience,yuko sahihi kabisaaa
 
Sio kweli hii haingezi nafasi za ajira, Sana Sana itaongeza gharama kwa serikali na ujue pia ujuzi ni asset,.
Halafu sio Kila raia lzm ajiriwe na serikali
Na hata ikifanya hivyo waliopo maofisin ndio watakopata hizo ajira.
 
kwani miaka yote sekta gani inayotoa ajira nyingi?Binafsi umma???kama ni umma kwanini tusiboreshe ajira hizo???LETA FIKRA MBADALA JAMVINI ACHA KUSHAMBULIA MTOA MADA!!
 
kwani miaka yote sekta gani inayotoa ajira nyingi?Binafsi umma???kama ni umma kwanini tusiboreshe ajira hizo???LETA FIKRA MBADALA JAMVINI ACHA KUSHAMBULIA MTOA MADA!!
 
kwani miaka yote sekta gani inayotoa ajira nyingi?Binafsi umma???kama ni umma kwanini tusiboreshe ajira hizo???LETA FIKRA MBADALA JAMVINI ACHA KUSHAMBULIA MTOA MADA!!
 

Nothing beats experience?!? Are you for real Chief??!

As of current, we are in a Era that Talent, Persistence & exceptional attitude of work is a major factor.

In today’s era, experience is just / should just be an added value!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…