Mkuu ujue baada ya 5 yrs haupo kazini unafikiri mshahara wako utaupeleka kidimbwi?
Hiyo changamoto kazi nyingi zjnahitaji experince hata ualimu ukifundishwa na mwalimu mwenye miaka 20.kazini ni tofauti kabisa na mwenye miaka 2. So ufanisi utapungua sana kazinikatika kazi kama ya udaktari ambayo inahitaji mtu mwenye experience hio idea yako haitakua applicable..
Daktari kafanya kazi miaka mitano anajua magonjwa yote ya watoto, akielezewa tu shida ya mtoto kashapata jibu juu ya nini kinamsumbua mtoto, daktari mwingine ameshazoea kufanya upasuaji bila hofu yoyote, leo hii umfukuze kazi umlete Daktari anayeanza na zero? SIO KWELI.
Gharama gani za maana zaidi ya makaratasi na wino kwa ajili usahili wa kuandika??Ivi mnajua gharama za kurecruit after every 5years?
Okay sawaGharama gani za maana zaidi ya makaratasi na wino kwa ajili usahili wa kuandika??
Hata sasa hivi kuna wanaoingia na kustaafu,kama ishu ni mitaji hio hela ambayo mnataka kuongeza kwa waajiriwa, ili wajilimbikizie ni vyema kama ingegaiwa kwa hawa wanaomaliza chuo iwe kama mitajiItapunguza sana tatizo la ajira kila mwaka kunaweza kuwa na watu wapya zaidi ya laki watakoukuwa wanaingia kwenye mfumo wa ajira wa serikali huku wengine wengi wanaotoka serikalini wakiwa wanaingia kwenye mfumo wa wa sekta binafsi kupitia mafao yao kama mitaji.
Hiyo changamoto kazi nyingi zjnahitaji experince hata ualimu ukifundishwa na mwalimu mwenye miaka 20.kazini ni tofauti kabisa na mwenye miaka 2. So ufanisi utapungua sana kazini
So people with talent, persistence & exceptional attitude of work after working for 5 years what will they have which they did not have 5 years ago ?Nothing beats experience?!? Are you for real Chief??!
As of current, we are in a Era that Talent, Persistence & exceptional attitude of work is a major factor.
In today’s era, experience is just / should just be an added value!!
At 45 kuna wengine last born ndio ameanza standard one [emoji28][emoji28]Miaka ya kustaafu ipunguzwe 45 mwisho mtu aachie ngazi sasa wazee wamekaza eti mpaka miaka 60 ni mingi sana 45 tu astaafu akiwa a nguvu zake akaanzishe mradi ili awaajir wengine na wengine warithi nafasi yake. pia ajira za mkataba n sawa sasa sirikali inaangaika mbowe tu
Hata sasa hivi kuna wanaoingia na kustaafu,kama ishu ni mitaji hio hela ambayo mnataka kuongeza kwa waajiriwa, ili wajilimbikizie ni vyema kama ingegaiwa kwa hawa wanaomaliza chuo iwe kama mitaji
Umewahi kujiuliza kwa nini Marekani ina wanajeshi wengi wastaafu ambao bado ni vijana kabisa?Hata nchi zilizoendelea hakuna kitu kama hicho kua ajira zote ziwe za mikataba .
Kuna watu wana experince kubwa kwenye mpaka inafikia wanapewa mishahara ya kufuru unafikiri hayo makampuni hayaoni vijana wanaoweza kufanya hizo kazi tena kwa mshahara wa kawaida?
Walichofanya ni kutengeneza ajira nyingi za kudumu na mkataba. Wenye ajiri za kudumu experience inawabeba sana na wa mkataba nako kuna vigezo vyake
Cha msingi ninkutengeneza ajira nyingi hasa kwa ujenzi wa biwanda na kuboresha kilimo.hata ulaya ajira za mikataba nyingi ni viwandani na mashambani pia kwenye hotel na sehem za burudani ambapo zinahitaji nguvu nyinhi na experience za kawaida.Kunaweza kukawa na kazi ambazo ni ' 'exceptional' mfano madaktari na walimu kwa sababu ni kweli dakatari au mwalimu wa muda mrefu zaidi ni bora kuliko mpya. Pia mpaka sasa bado kuna pengo kubwa sana la madaktari na walimu ambalo sio rahisi kuzibwa kwa miaka ya hivi karibuni hivyo mfumo huu hautawagusa kwa muda mrefu.
Nilijua labda una hoja, kwa hio hawa unaowataka kuwalazimisha waache kazi baada ya miaka mitano kwa kuwa wanakuwa na mtaji, hio biashara wanaiweza huko mtaani?? Na kwamba hawatafilisika kwenye biashara zao,, MNHHHHHWanoastaafu ni wachache sana na hiyo inasababisha wanaoingia kuwa wachache sana. Pia kuna tofauti kubwa ya mtu aliyefanya kazi kwa muda fulani akaingia kwenye sekta binafsi na mtu aliyetoka fresh chuo akaingia kwenye biashara,kuna uwezekano mkubwa wa kijana aliyemaliza chuo na kuingia kwenye biashara moja kwa moja kufilisika mapema.
Lazima tubuni njia zaidi za kusaidia watu waajiriwa wengi na sio kugawa kidogo tunachopata,sio sahihi kumpa huyu na kumpora mwingineCha msingi ninkutengeneza ajira nyingi hasa kwa ujenzi wa biwanda na kuboresha kilimo.hata ulaya ajira za mikataba nyingi ni viwandani na mashambani pia kwenye hotel na sehem za burudani ambapo zinahitaji nguvu nyinhi na experience za kawaida.
Juzi uingereza ililalamika upungufu mkubwa wa madereva wa malori unajua kwa sababu gani?
Ni sekta ya viwanda kilimo na usafirishaji. Madereva nchini uingereza wanachukua 2% ya ajira zote za mkataba uingereza
Marekani ana operation nyingi sana nje ya nchi na idadi ya askari wake haitoshi so mpaka wanakua na ajira za mkataba jeshini kwa ajili ya operation na uzuri ni kua kwa kua kuna ajira nyingi hata wakimaliza mikataba jeshini mtaani ajira zipo kwa kiasi chake. Hapa kwetu kitaa ni kigum kiasi hata ukiwa na hela unaweza usifanikiweUmewahi kujiuliza kwa nini Marekani ina wanajeshi wengi wastaafu ambao bado ni vijana kabisa?
Nilijua labda una hoja, kwa hio hawa unaowataka kuwalazimisha waache kazi baada ya miaka mitano kwa kuwa wanakuwa na mtaji, hio biashara wanaiweza huko mtaani?? Na kwamba hawatafilisika kwenye biashara zao,, MNHHHHH
Njia mojawapo ya kutengeneza hizo ajira nyingi zaidi ni hii iliyopendekezwa na mleta uzi.Cha msingi ninkutengeneza ajira nyingi hasa kwa ujenzi wa biwanda na kuboresha kilimo.hata ulaya ajira za mikataba nyingi ni viwandani na mashambani pia kwenye hotel na sehem za burudani ambapo zinahitaji nguvu nyinhi na experience za kawaida.
Juzi uingereza ililalamika upungufu mkubwa wa madereva wa malori unajua kwa sababu gani?
Ni sekta ya viwanda kilimo na usafirishaji. Madereva nchini uingereza wanachukua 2% ya ajira zote za mkataba uingereza