Hahaha tell himAmeshakataa kwa wanaojipendekeza kwake, wewe husikii?
I presume you are a lady...Kuna chanjo yenu nyingine nipo naiandaa yenye jina la COVID 2020 pro+ vaccine. Hii nai release baadaye.
Kuwa mpole chanjo ikuingie vizuriI presume you are a lady...
No wonder....
Hata wewe ni mmoja wao.Ungewataja hao watu kwanza
Hahaha tell him
Mimi naweza kukulisha na kukunywesha maisha yako yote mkuu. Acha kebehiNjaa mbaya sana
Ujui unachokifanya. Furahia kwa sasa lakini haidumu!Tulia chanjo ikuingie vizuri
eti eeeeeeee, kwanza mimi kwenye uongozi napenda tuwe na utawala kama wa korea kaskazi maana, binadamu wakipewa uhuru kuongea ongea wanachonga sana, hata kazi hawafanyi kazi kushinda, mitandaoni alafu wanaponda, uchumi wa nchi. Sasa sijui wanataka nani alete huo uchumi.Ujui unachokifanya. Furahia kwa sasa lakini haidumu!
Nauli ya nini tena mkuu. Kauli hii uliyo zungumza ni ya mtu aliye period hii.Tusipangiane maisha
Kama wewe umekosa nauli sema usaidiwe
Nina pesa ya kukulisha miaka 50 asubuhi, mchana jioni wewe pamoja na familia yakoTusipangiane maisha
Kama wewe umekosa nauli sema usaidiwe
Sasa kama mimi ni sukari kwanini nisiwatafune. Ni kutafuna tu.Robot hili, unachoweza ni WWW_ War, women and whisk tu! Na kwakuwa siku hizi hakuna vita basi unachoweza ni women, whisk na kwa mbaliiii war!!
Chanjo imeshakuingia vizuri sasa mpaka hapa, umeanza kutamka maneno ya ajabuRobot hili, unachoweza ni WWW_ War, women and whisk tu! Na kwakuwa siku hizi hakuna vita basi unachoweza ni women, whisk na kwa mbaliiii war!!
Hongera. Hamia Korea Kasikazini basi ambako kuna utawala unaoupenda na kuna maendeleo lukuki!eti eeeeeeee, kwanza mimi kwenye uongozi napenda tuwe na utawala kama wa korea kaskazi maana, binadamu wakipewa uhuru kuongea ongea wanachonga sana, hata kazi hawafanyi kazi kushinda, mitandaoni alafu wanaponda, uchumi wa nchi. Sasa sijui wanataka nani alete huo uchumi.
Ndio mpango wanguHongera. Hamia Korea Kasikazini basi ambako kuna utawala unaoupenda na kuna maendeleo lukuki!