Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Kwani wamesema wana taka kusafiri? Kama katukanwa si aende mahakamani?
 
Hizi ndiyo akili za vijana wa Lumumba,huyu itakuwa kapigwa chini kura za maoni.
 
Ujui unachokifanya. Furahia kwa sasa lakini haidumu!
eti eeeeeeee, kwanza mimi kwenye uongozi napenda tuwe na utawala kama wa korea kaskazi maana, binadamu wakipewa uhuru kuongea ongea wanachonga sana, hata kazi hawafanyi kazi kushinda, mitandaoni alafu wanaponda, uchumi wa nchi. Sasa sijui wanataka nani alete huo uchumi.
 
Tusipangiane maisha
Kama wewe umekosa nauli sema usaidiwe
 
Robot hili, unachoweza ni WWW_ War, women and whisk tu! Na kwakuwa siku hizi hakuna vita basi unachoweza ni women, whisk na kwa mbaliiii war!!
 
Sasa kama mimi ni sukari kwanini nisiwatafune. Ni kutafuna tu.
 
Robot hili, unachoweza ni WWW_ War, women and whisk tu! Na kwakuwa siku hizi hakuna vita basi unachoweza ni women, whisk na kwa mbaliiii war!!
Chanjo imeshakuingia vizuri sasa mpaka hapa, umeanza kutamka maneno ya ajabu
 
eti eeeeeeee, kwanza mimi kwenye uongozi napenda tuwe na utawala kama wa korea kaskazi maana, binadamu wakipewa uhuru kuongea ongea wanachonga sana, hata kazi hawafanyi kazi kushinda, mitandaoni alafu wanaponda, uchumi wa nchi. Sasa sijui wanataka nani alete huo uchumi.
Hongera. Hamia Korea Kasikazini basi ambako kuna utawala unaoupenda na kuna maendeleo lukuki!
 
Back
Top Bottom