Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Hii shahawa bora ingetupwa na condom chooni.
 
Dawa imekuingia rasmi. Now I know that's the best vaccine for you folks who go against our laws.
 
Hata hilo jengo kubwa na refu kuliko yote ni la kwako lakini bado wewe ni meneja uchwara tu wa kampuni ya Machinga pale Posta.
 
Mbona hamkusema haya wakati wa Mzee wa Msoga?
 
Mkuu tuna hoja nyingi muhimu za kujadili kama taifa..hii ya kwako ni "useless" nikushauri tu kuwa nenda kamshirikishe "mumeo" sio sisi. Umenielewa? Ovaa!
That's a good vaccine for you
Hata hilo jengo kubwa na refu kuliko yote ni la kwako lakini bado wewe ni meneja uchwara tu wa kampuni ya Machinga pale Posta.
expand...
Dawa imekuingia rasmi. Now I know that's the best vaccine for you folks who go against our laws.
 
Dawa imekuingia rasmi. Now I know that's the best vaccine for you folks who go against our laws.
hahahaha nigga aint no body fuvck with no laws and the damn dumb ass smart shit yo got, boy you just an idiot talking about vaccine..man shut yo ass up and stop embarrassing yourself...but the truth is he doesn't even know you kwahiyo acha kujipendekeza tena kasema jana pale chamwino
 
Dawa imesha kuingia tayari
Dawa ipi zaidi ya kudhihirisha ujinga wako?! Nimekuuliza wanyang'anywe kwa kutumia sheria ipi, umeshindwa kujibu!! Na hapa chini ni mambo ambayo Kamishna wa Uhamiaji yanampa mamlaka ya kunyang'anya passport:-


Sasa si unaona ulivyo mjinga?

Hivi hapo una tofauti gani na wale JPM aliowaambia waache kujipendekeza?! Tayari sheria imeshaelekeza ni mambo gani yanaweza kumfanya mtu anyang'anywe passport, wewe unataka itumike sheria ambayo haipo kwa ajili ya rais!!!

Kwa screenshot hiyo hapo juu, ndipo utajua ni nani hana akili yako kati yako na wale unawaowa-brand kwamba hawana akili ingawaje kulifahamu hilo nako kunahitaji kuwa na akili!
 
Nchi haipaswi kuunda sheria/kanuni kwa kufuata mihemko ya kisiasa . Kumbuka yawezekana kabisa chama kinachounda/kinachoongoza serikali leo kinaweza kikawa chama pinzani kesho
 
Dawa imekuingia rasmi. Now I know that's the best vaccine for you folks who go against our laws.
Narudia tena heri mzee wako angetumia mpira wa kinga kuliko kinyaa alichotuletea duniani.

Siwezi ingiwa na dawa ya kinyaa kama wewe.
 
Dawa imekuingia rasmi. Now I know that's the best vaccine for you folks who go against our laws.
Nimekuuliza taja sheria inayosema mtu anyang'anywe passport, umeshindwa halafu bado unazungumzia sheria?! We wa wapi wewe?!
 
Punguza hasira basi.... Sasa mbona na wewe unaanza kufanana na hao watukanaji tena?
Ukiona mtu anatoa maneno mabaya kwa rais au serikali ujue ndivyo alivyo hata kwa jamii na watu wanaomzunguka.

Rais ana mambo mengi makubwa ya kufanya watukanaji watajipa adhabu wenyewe, muda ni mwalimu mzuri kuliko maneno
 
Leo tarehe 23 bado siku 4.akifika tu airport wanachukua gamba lake.
 
Sijawai kuwa na hasira, najua leo nimewabana sana watu humu, hawafurukuti leo.
 
tusi gani katukanwa Raisi na nani
 
Serikali haiitaji ushauri wako acha kujipendekeza, kamshauri mke wako, na shemeji zako.
 
Wewe una uwezo mdogo wa kufikiri ndio sababu, huwezi kutufundisha tulio tunga hivyo vitu.

Pale chini kuna point imeandika
National Interests or National Security



Naomba uwe unasoma kwa kuelewa ndugu yangu. Read between the lines you'll understand well.
 
Angalia ulivyo mjinga! Sasa suala la kumtukana rais linaathiri vp national interest au national security?! Hivi una akili kweli wewe?! Hivi unajua nini maana ya national interest?! Do you know anyyhing about national security?

Halafu unaweza kukuta eti nawe una shahada... what a waste!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…