Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Naona hasira za kukatwa kwenye kura za maoni huko CCM nimekuvuruga kichwa kijana.
Karibu tulime
Karibu tulime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wewe ndiye mjinga mkuu hutafakari kwa kina yaani akili yako iko very limited ndio sababu hiyo point huwezi kuelewa vizuri.Angalia ulivyo mjinga! Sasa suala la kumtukana rais linaathiri vp national interest au national security?! Hivi una akili kweli wewe?! Au ndo wale wanaoenda shule kusomea ujinga?
Watu wanakuwa miili na akili je?Ameshakataa kwa wanaojipendekeza kwake, wewe husikii?
We kima jibu nilichokuuliza: kutukanwa kwa rais kunaathiri vipi maslahi ya taifa au usalama wa taifa?!Nadhani wewe ndiye mjinga mkuu hutafakari kwa kina yaani akili yako iko very limited ndio sababu hiyo point huwezi kuelewa vizuri.
Unazijua athari za mkutukana Rais au kumsema vibaya Rais kwa viongozi wa mataifa mengine. Unazijua athari kwa taifa?Angalia ulivyo mjinga! Sasa suala la kumtukana rais linaathiri vp national interest au national security?! Hivi una akili kweli wewe?! Hivi unajua nini maana ya national interest?! Do you know anyyhing about national security?
Halafu unaweza kukuta eti nawe una shahada... what a waste!!!
Hahahaaaaaaaaaa zero brain unashindwa kutafakari kwa kina. Utakuwa umesoma UDOM wwWe kima jibu nilichokuuliza: kutukanwa kwa rais kunaathiri vipi maslahi ya taifa au usalama wa taifa?!
Look at you... sasa "athali" ndo nini?! Hata kuandika Kiswahili fasaha hujui!!Unazijua athali za mkutukana Rais au kumsema vibaya Rais kwa viongozi wa mataifa mengine. Unazijua athari kwa taifa?
Think don't rush
Wewe ni kuli tu huna loloteKwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.
Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.
Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.
Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.
Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.
Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.
Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.
Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.
Ningependa swala la kunyang'nya passport lihusiane na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya mipaka ya Tanzania.
Mfano mtuhumiwa anayewaita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari hao nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo ya habari nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako akiwa nje ya mipaka ya taifa letu.
Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi ya kuheshimu taifa letu.
Kama hujanielewa naomba urejee hii attachment
View attachment 1514597
Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Meneja wa Makampuni ni hivi: Matusi ni kosa la jinaiNapinga na kutokuunga mkono mtu yeyote kutukanwa, achilia mbali Rais. Hilo halikubaliki katika jamii yeyote ile ya wastaarabu. Lakini pia inategemea unatafsiri vipi matusi?
Hao TCRA wanahangaishwa na vitapeli vinavyoibia watu kwa sms za miamala na mambo madogomadogo ya uhalifu wa kimtandao sijui hadi na hilo hadi Rais awatishie?
Rais ajikite kwenye mambo ya msingi akiongozwa na katiba, sheria na kufuata utawala bora, atapunguza kwa kiasi kikubwa sana matusi ya rejareja.
Hayo mapendekezo yako ya hati za kusafiria ni mchakato wa kisheria. Watatolea maelezo wataalam.
Angalia ulivyo mpumbavu... finally unajifanya unanijua!!Hahahaaaaaaaaaa zero brain unashindwa kutafakari kwa kina. Utakuwa umesoma UDOM ww
Ulitakiwa uweke ushahidi hapa ili wadau nao wajadiri,lakini wewe umegeuka prosecutor, jaji,na magereza.Sijawai jipendekeza katika maisha yangu,
Tatizo hili jamaa ujuaji mwingi... you're lucky umem-quote mtu mwingine vinginevyo angekuambia "huna akili"! Kujua halijui lakini ukilielekeza, linaanza kashifa!!Meneja wa Makampuni ni hivi: Matusi ni kosa la jinai
Kama kuna mtu ametukana basis apelekwe mahakamani na kama mtuhumiwa atakutwa na kosa, mahakama itaamua adhabu - iwe kunyan'ganywa passport au adhabu yoyote ile itakayotolewa kwa mujibu wa sheria.
Subiri chanjo ikuingie weweTatizo hili jamaa ujuaji mwingi... you're lucky umem-quote mtu mwingine vinginevyo angekuambia "huna akili"! Kujua halijui lakini ukilielekeza, linaanza kashifa!!
Tatizo hili jamaa ujuaji mwingi... you're lucky umem-quote mtu mwingine vinginevyo angekuambia "huna akili"! Kujua halijui lakini ukilielekeza, linaanza kashifa!!
Nimeku qoute tayari nasubiri, niupime ukilaza ulionao unashindwa kutafakari vitu vidogo tu.Look at you... sasa "athali" ndo nini?! Hata kuandika Kiswahili fasaha hujui!!
NARUDIA: Eleza hapa ni namna gani kutukanwa kwa rais kunaathiri maslahi ya taifa au usalama wa taifa!!
Naona unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe!! Nimekuwekea hadi makosa yanayoweza kusababisha mtu kunyang'anywa passport, matokeo yake umebaki kumwaga matusi na kuleta taarabu!!Subiri chanjo ikuingie wewe
We kima acha taarabu, na jibu unachoulizwa!!sasa ngoja ni quote mwenyewe ili chanjo ikuingie vizuri
Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.
Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.
Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.
Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.
Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.
Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.
Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.
Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.
Ningependa swala la kunyang'nya passport lihusiane na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya mipaka ya Tanzania.
Mfano mtuhumiwa anayewaita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari hao nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo ya habari nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako akiwa nje ya mipaka ya taifa letu.
Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi ya kuheshimu taifa letu.
Kama hujanielewa naomba urejee hii attachment
View attachment 1514597
Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Usingekuwa kilaza ungejibu maswali niliyokuuliza, lakini finally umethibitisha how stupid you're!!Nimeku qoute tayari nasubiri, niupime ukilaza ulionao unashindwa kutafakari vitu vidogo tu.