Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Naona hasira za kukatwa kwenye kura za maoni huko CCM nimekuvuruga kichwa kijana.

Karibu tulime
 
Angalia ulivyo mjinga! Sasa suala la kumtukana rais linaathiri vp national interest au national security?! Hivi una akili kweli wewe?! Au ndo wale wanaoenda shule kusomea ujinga?
Nadhani wewe ndiye mjinga mkuu hutafakari kwa kina yaani akili yako iko very limited ndio sababu hiyo point huwezi kuelewa vizuri.
 
Nadhani wewe ndiye mjinga mkuu hutafakari kwa kina yaani akili yako iko very limited ndio sababu hiyo point huwezi kuelewa vizuri.
We kima jibu nilichokuuliza: kutukanwa kwa rais kunaathiri vipi maslahi ya taifa au usalama wa taifa?!
 
Unazijua athari za mkutukana Rais au kumsema vibaya Rais kwa viongozi wa mataifa mengine. Unazijua athari kwa taifa?
Think don't rush
 
Unazijua athali za mkutukana Rais au kumsema vibaya Rais kwa viongozi wa mataifa mengine. Unazijua athari kwa taifa?
Think don't rush
Look at you... sasa "athali" ndo nini?! Hata kuandika Kiswahili fasaha hujui!!

NARUDIA: Eleza hapa ni namna gani kutukanwa kwa rais kunaathiri maslahi ya taifa au usalama wa taifa!!
 
Wewe ni kuli tu huna lolote
 
Meneja wa Makampuni ni hivi: Matusi ni kosa la jinai
Kama kuna mtu ametukana basis apelekwe mahakamani na kama mtuhumiwa atakutwa na kosa, mahakama itaamua adhabu - iwe kunyan'ganywa passport au adhabu yoyote ile itakayotolewa kwa mujibu wa sheria.
 
Tatizo hili jamaa ujuaji mwingi... you're lucky umem-quote mtu mwingine vinginevyo angekuambia "huna akili"! Kujua halijui lakini ukilielekeza, linaanza kashifa!!
 
Tatizo hili jamaa ujuaji mwingi... you're lucky umem-quote mtu mwingine vinginevyo angekuambia "huna akili"! Kujua halijui lakini ukilielekeza, linaanza kashifa!!
Subiri chanjo ikuingie wewe
 
sasa ngoja ni quote mwenyewe ili chanjo ikuingie vizuri
Tatizo hili jamaa ujuaji mwingi... you're lucky umem-quote mtu mwingine vinginevyo angekuambia "huna akili"! Kujua halijui lakini ukilielekeza, linaanza kashifa!!
 
Look at you... sasa "athali" ndo nini?! Hata kuandika Kiswahili fasaha hujui!!

NARUDIA: Eleza hapa ni namna gani kutukanwa kwa rais kunaathiri maslahi ya taifa au usalama wa taifa!!
Nimeku qoute tayari nasubiri, niupime ukilaza ulionao unashindwa kutafakari vitu vidogo tu.
 
Subiri chanjo ikuingie wewe
Naona unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe!! Nimekuwekea hadi makosa yanayoweza kusababisha mtu kunyang'anywa passport, matokeo yake umebaki kumwaga matusi na kuleta taarabu!!

Narudia: kutukanwa kwa rais kunahatarisha vp usalama wa taifa na kuathiri maslahi ya taifa?!
 
Alafu ww unapata faida gani?
Nyie ndio Rais kawambia Jana muache kujipendekeza
 
Hoja ya kitoto kabisa, wala haina uzalendo kama unavyoelezea na hujui hata tafsiri ya uzalendo hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…