Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Tulia chanjo ikuingie
 
Tulia chanjo ukiingie kwanza
Kazi ya Askari ni kutii maagizo ya wanasiasa kwa maslai ya mwanasiasa,thus ukawa huko.
Ulitakiwa uishi zama za Giza sio hizi.
Hizi Ni zama za hoja ujibiwa kwa hoja.
Mwanadamu yeyeto anapokwenda kinyume na taratibu zimpasazo ni wajibu kukumbushwa.
 
Mbwa ww..... Unaleta ushauri wa kimalaya Malaya...
 
[SUP]afu [/SUP]

afu unakuta ndo kwanza jkt,akiwazia kazi za ulinzi kwny mabank anahc wapinzani ndo wanasababisha
Mkuu nimejiajiri mwenyewe katu huwa sipendi kuajiriwa, pesa nazo ingiza kwa siku ni mshahara wa mbunge wa Tanzania + marurupu yote.

niliajiriwa nikafanya kazi miezi 10 nikaacha kazi nikafungua miradi yangu. Hivyo siku zinazosonga.

Mimi najua vijana wanao tukana serikali ni wale walio changanyikiwa baada ya kupigwa na maisha.
 
hakuna kitu Kama hicho uingize zaidi ya 18m arafu uje kusifu serikali hivyo kwa aina ya mfumo wa nchi unavyopelekwa kwny uwekezaji,wadanganye wajinga wenzako
 
Wewe sio "Mzalendo."

Wewe ni shabiki wa mtu ambaye sasa ni Rais wa Tanzania. Hiyo haikufanyinwewe uwe "Mzalendo" wa nchi yetu Tanzania.

Inawezekana kabisa hata ukawa ni adui mkubwa wa Tanzania.

Wewe ni limbukeni fulani aliyekosa kazi ya kufanya.
 
Hilo jiwe kalengwa antipas ujio wake ni mateso
 
Mkuu jipime kama akili yako iko sawasawa. Lazima utakuwa na tatizo la kiakili. Akili isiyo mbovu, huchuja mawazo kabla ya kuyatoa
We mwangalie mwenyekiti wako tu, usiende mbaali! Mtu anaejiita kichaa, mara ajiite anawazimu!!

Ukiona hana tatizo mtakuwa njia moja, polee
 
Ukiwa ccm kuwa na akili ndogo ndio sifa...
Jinga kabisa wewe
 
Mkuu

Kila binadamu ameumbwa kupata redicule.

Mawe ni kiumbe gani asiwe rediculed and scrutized like other human beings?

Ni haki ya other human beings kua reculed na kua scrutized na wao ku-reducle na ku-scrutize others.

Hiyo ni haki ya msingi kama alivyo nayo yeye ku-redicule an ku-scrutize others.

Badala yeye atumie uwezo wake wote na madaraka yake yote kulinda haki za wote wanao m-redicule na kum-scrutize wewe una suggest watu wafungwe?

Tunaenda kua jamhuri ya ndizi!
 
Tulia chanjo ukiingie viruzi
 
Wewe sio "Mzalendo."

Wewe ni shabiki wa mtu ambaye sasa ni Rais wa Tanzania. Hiyo haikufanyinwewe uwe "Mzalendo" wa nchi yetu Tanzania.

Inawezekana kabisa hata ukawa ni adui mkubwa wa Tanzania.

Wewe ni limbukeni fulani aliyekosa kazi ya kufanya.
Tulia chanjo ikuingie vizuri mkuu, mbona unatoa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…