Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Magufuli ametamka jana kwamba muache kujipendekeza.
 
Chanjo gani mzee mama wewe?

"ukiingie" ndio Kiswahili cha wapi?

"viruzi" ndio Kiswahili cha wapi?

Majitu yanayo mshabikia mawe ni majitu yaliyofeli maisha totally wala sio elimu pekee yake!

Total disgrace!
Pesa nayoingiza kwa siku inaweza kulisha ukoo wenu wote kwa miaka miwili.
 
Mkuu kabla watu hamjaomba nafasi yoyote katika jamii muwe mnajipima na kujitafajari Kwanza Kama kweli mnauwezo wa kushika nafasi hizo.Maana Kama unapewa nafasi ambayo maamuzi yako yanamfurahisha huyu na kumuumiza yule,Kama huna akili za maiti huwezi kutegemea kutotukanwa. Any way sorry sijasoma bandiko lako kwa kuwa heading tu imeniboa
 
Soma hilo bandiko upate kuelewa na chanjo ikuingie
 
Pesa nayoingiza kwa siku inaweza kulisha ukoo wenu wote kwa miaka miwili.
Wewe ni "meneja" wa makampuni mimi ni "owner" wa makampuni..

Meneja ni mwajiriwa...shut up your butt!

Wenye hela wamo JF wanaomba wakosoaji wa Magufuli eti wafungwe na wanyang'anywe uraia?

Kuna mwanadamu anaweza nyang'anya mwanadamu mwengine uraia wa kuzaliwa?

Bure kabisa wewe!
 
Chanjo gani mzee mama wewe?

"ukiingie" ndio Kiswahili cha wapi?

"viruzi" ndio Kiswahili cha wapi?

Majitu yanayo mshabikia mawe ni majitu yaliyofeli maisha totally wala sio elimu pekee yake!

Total disgrace!
Unaambiwa hilo jamaa ni jinga kweli kweli halafu halifahamu kwamba ni jinga!! Kwa kawaida threads zake huwa anamalizia kutaja degree aliyosomea na wapi alisoma! Hapa nadhani limesahau kutaja kwamba ana degree ya Australia halafu likiambiwa linajipendekeza, linajifanya kukana... very stupid!!!

Yaani kujua kwingi wakati kichwani ni ZERO!!!
 
Pesa nayoingiza kwa siku inaweza kulisha ukoo wenu wote kwa miaka miwili.
Angalia ulivyo zuzu... kuna aliyekuuliza unaingiza shilingi ngapi hapa?! Watu wanajadili hoja yako ya kijuha ambayo inaonesha wazi kichwani mwako ni zero!!!
 
Sasa chanjo imekuingia kisawasawa mpaka unatoa povu. Inabidi nipunguze dozi.
 
Sasa ni wazi kwamba hii chanjo ya majaribio inafanya kazi vizuri. Povu linawatoka
 
Angalia ulivyo zuzu... kuna aliyekuuliza unaingiza shilingi ngapi hapa?! Watu wanajadili hoja yako ya kijuha ambayo inaonesha wazi kichwani mwako ni zero!!!
Chanjo inafanya kazi vizuri sana, sasa umeanza kutoa povu.
 
Sasa ni wazi kwamba hii chanjo ya majaribio inafanya kazi vizuri. Povu linawatoka
Still a vaccine is working right.
Chanjo inafanya kazi vizuri sana, sasa umeanza kutoa povu.
Still a vaccine is working right.
Look at you... finally unaamua kutuwekea avatar ya bint mrembo wakati hapo kabla hukuwa na hiyo avatar, sasa nani hapo chanjo imemwingia kama sio wewe mwenyewe 😀😂🤣?! Are you trying to play a woman card coz some gents including myself tend to refrain from harassing women, na kwamba unatafuta hiyo possibility ili usiwe harassed, au?!
 
Sasa ni wazi kwamba hii chanjo ya majaribio inafanya kazi vizuri. Povu linawatoka
Povu linatutoka sababu ya kiasi kikubwa cha ujinga unachoonyesha hapa...

Japo ni haki mtu kua mjinga na mpumbavu,wewe umetumia haki hiyo to the maximum,mpaka inaudhi!
 
Kwani we ni muarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…