Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sihitaji kuteuliwa nafanya biashara zangu ili niipatie kodi nchi yangu. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe. Fanyeni biashara acheni uvivu. Ukienda pale posta majengo yanapendeza eeeeee.Mbona umesahau kuweka angalau number ya cm teuzi zikitoka na ww ukumbukwe kwa kujipendekeza na kusifia kila kitu
Massage sentWe ni mgambo tu tena uliefundishwa na mgambo mwenzio , mzalendo halisi hawezi kuwa empty hivi wazalendo tunawajuwa na tabia zao za kizalendo zinaonekana unatetea matapeli wenzio ujiite mzalendo????
Rais kawaahtukia Sahv kna watu wanajipendekeza kwake, wanamsifu kumbe wanatumia mwanya huo kupigaAmeshakataa kwa wanaojipendekeza kwake,wewe husikii?
Ngoja lifanyiwe kazi. Nadhani tutaelewana tu. Ni kifungu kipi cha sheria kinakuruhusu wewe kumdhihaki Rais wetu, ni kifungu kipi kinakuruhusu wewe kuisema vibaya nchi yetu huko ughaibuni ulikoWote tunaongozwa kwa mjibu wa Katiba na Sheria sio kwa matakwa ya mtu na Mke wake walivyoshauriana usiku.
Hayo mapendekezo peleka kwenye familia yako.
Sihitaji kuteuliwa nafanya biashara zangu ili niipatie kodi nchi yangu. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe. Fanyeni biashara acheni uvivu. Ukienda pale posta majengo yanapendeza eeeeee. Yale majengo yamejenjwa na wafanya biashara. Ukizunguka hapa Dar unaona jiji linapendeza, eeeeee majengo mazuriiiiii.Rais kawaahtukia Sahv kna watu wanajipendekeza kwake, wanamsifu kumbe wanatumia mwanya huo kupiga
Ova
Jamuhuri au nchi haiwezi kubadilika maana ni ardhi na watu wanaoishi kwenye hiyo ardhi ila serikali hubadilika! Kuwa mzalendo Kwa nchi yako na si kwa serikali yako!Jamuhuri ni nini mkuu?
Mshaurini aongoze kwa mjibu wa Sheria na Katiba.Ngoja lifanyiwe kazi. Nadhani tutaelewana tu. Ni kifungu kipi cha sheria kinakuruhusu wewe kumdhihaki Rais wetu, ni kifungu kipi kinakuruhusu wewe kuisema vibaya nchi yetu huko ughaibuni uliko
Siwezi kuelewa ugoro.utaelewa tu, kile nilicho kiandika subiri
Vipi kuhusu wale wanaokaidi amri za Mwenyezi Mungu anayetupa uhai na riziki zetu hapa duniani,nao wanyang'anywe nini?Kwako serikali ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.
Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikelwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.
Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekua wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.
Binafsi nimekuwa nikikelwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.
Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.
Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.
Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.
Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.
Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Walahi una matatizo makubwa kwenye akili yakoKwako serikali ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Moja ya kitu kinachochelewesha maendeleo duniani ni mabishano ya kisiasa. Kwanini kwasababu muda haurudi nyuma unasonga, mbele uzalishaji uhategemea muda. Mabishano ya kisiasa yana kula muda kwa kiasi kikubwa sana. Katika siasa za ubushano badala ya kujadili uzalishaji mnajikita kwenye kujadili vitu vya kijinga vidogo vidogo.Mshaurini aongoze kwa mjibu wa Sheria na Katiba.
Hii nchi Ina watu karibia milioni 60, hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa, lazima migongano ya mawazo iwepo.
Migongano ndio inazaa ukosoaji ambao ni haki kwa mjibu wa Katiba na Sheria.
hebu fikiria wewe na mama yako ni vile vikundi vinavyogawa rushwa wakati Wa kampeni, yaani jitu zima liko beneti na maza!? bila shaka utakua ni litoto LA mama!utaelewa tu kile nilicho kiandika, let's wait for few months and we gonna see
itafute ID imeandikwa sitaki siasa za ubishaniTupatie ID yako ya siku zote, kwanini utumie ID mpya ????
Subiri kwanza dawa iwaingie mtakuja kunirejeshea mrejesho hapa hapa Jamii forum. I give all of you one month. Today is 23 July is it, then 23 August is approaching let's see nani mwenye akili kati ya mtukanaji na mjenga hoja.hebu fikiria wewe na mama yako ni vile vikundi vinavyogawa rushwa wakati Wa kampeni, yaani jitu zima liko beneti na maza!? bila shaka utakua ni litoto LA mama!