Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Mbona umesahau kuweka angalau number ya cm teuzi zikitoka na ww ukumbukwe kwa kujipendekeza na kusifia kila kitu
Sihitaji kuteuliwa nafanya biashara zangu ili niipatie kodi nchi yangu. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe. Fanyeni biashara acheni uvivu. Ukienda pale posta majengo yanapendeza eeeeee.

Yale majengo yamejenjwa na wafanya biashara. Ukizunguka hapa Dar unaona jiji linapendeza, eeeeee majengo mazuriiiiii. Hayo majengo yanapendeza kwasababu ya wafanya biashara Je wewe mchango wako ni upi hapa Tanzania?
 
Wote tunaongozwa kwa mjibu wa Katiba na Sheria sio kwa matakwa ya mtu na Mke wake walivyoshauriana usiku.

Hayo mapendekezo peleka kwenye familia yako.
Ngoja lifanyiwe kazi. Nadhani tutaelewana tu. Ni kifungu kipi cha sheria kinakuruhusu wewe kumdhihaki Rais wetu, ni kifungu kipi kinakuruhusu wewe kuisema vibaya nchi yetu huko ughaibuni uliko
 
Rais kawaahtukia Sahv kna watu wanajipendekeza kwake, wanamsifu kumbe wanatumia mwanya huo kupiga

Ova
Sihitaji kuteuliwa nafanya biashara zangu ili niipatie kodi nchi yangu. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe. Fanyeni biashara acheni uvivu. Ukienda pale posta majengo yanapendeza eeeeee. Yale majengo yamejenjwa na wafanya biashara. Ukizunguka hapa Dar unaona jiji linapendeza, eeeeee majengo mazuriiiiii.

Hayo majengo yanapendeza kwasababu ya wafanya biashara Je wewe mchango wako ni upi hapa Tanzania? Fanya kazi acha kuwaza kuteuliwa. Mimi sihitaji kuteuliwa wala sihitaji kuajiliwa. Nafanya biashara zangu ili niajiri wengine nipunguze ukosefu wa ajira Tanzania.
 
Jamuhuri ni nini mkuu?
Jamuhuri au nchi haiwezi kubadilika maana ni ardhi na watu wanaoishi kwenye hiyo ardhi ila serikali hubadilika! Kuwa mzalendo Kwa nchi yako na si kwa serikali yako!

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country.

It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.
Theodore Roosevelt
 
Ngoja lifanyiwe kazi. Nadhani tutaelewana tu. Ni kifungu kipi cha sheria kinakuruhusu wewe kumdhihaki Rais wetu, ni kifungu kipi kinakuruhusu wewe kuisema vibaya nchi yetu huko ughaibuni uliko
Mshaurini aongoze kwa mjibu wa Sheria na Katiba.

Hii nchi Ina watu karibia milioni 60, hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa, lazima migongano ya mawazo iwepo.

Migongano ndio inazaa ukosoaji ambao ni haki kwa mjibu wa Katiba na Sheria.
 
Kwako serikali ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.

Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikelwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.

Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekua wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Binafsi nimekuwa nikikelwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.

Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.

Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.

Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.

Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.

Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.

Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Vipi kuhusu wale wanaokaidi amri za Mwenyezi Mungu anayetupa uhai na riziki zetu hapa duniani,nao wanyang'anywe nini?
 
Inaonekana hata hujui maana ya kiapo ulichokula wakati unahitim mafunzo ya kijeshi.

Bila shaka wewe uliapa kumlinda jiwe na sio katiba
 
Kwako serikali ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.

Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikelwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.

Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekua wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Binafsi nimekuwa nikikelwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.

Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.

Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.

Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.

Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.

Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.

Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Walahi una matatizo makubwa kwenye akili yako
 
Mshaurini aongoze kwa mjibu wa Sheria na Katiba.

Hii nchi Ina watu karibia milioni 60, hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa, lazima migongano ya mawazo iwepo.

Migongano ndio inazaa ukosoaji ambao ni haki kwa mjibu wa Katiba na Sheria.
Moja ya kitu kinachochelewesha maendeleo duniani ni mabishano ya kisiasa. Kwanini kwasababu muda haurudi nyuma unasonga, mbele uzalishaji uhategemea muda. Mabishano ya kisiasa yana kula muda kwa kiasi kikubwa sana. Katika siasa za ubushano badala ya kujadili uzalishaji mnajikita kwenye kujadili vitu vya kijinga vidogo vidogo.

Ukienda nchini China kule hawana mabishano ya kiasiasa kama tunayofanya hapa Tanzania. Ukiingia mtaani watu wanafanya kazi wanaingiza pesa wanafanya uzalishaji.

Nakumbuka nimekwenda Shanghai mwaka 2014 kwa mara ya, kwanza, nilishudia watu wanafanya, kazi masaa 24 non stop.

Nilishangaa sana kumwona mtu yule yule masaa 24. Watu hawana mabishano ya kijinga jinga ya kuwasema watu ambao hata hawakulishi. Mtu badala ya, kuizungumzia familia yake muda wote ni Lisu.

Alafu na wewe unajidai unaakili eti. Mtu mwenye akili hawatafakari watu bali hutafakari maarifa tu ya kumwezesha kuyakabili maisha.
 
Tupatie ID yako ya siku zote, kwanini utumie ID mpya ????
 
hebu fikiria wewe na mama yako ni vile vikundi vinavyogawa rushwa wakati Wa kampeni, yaani jitu zima liko beneti na maza!? bila shaka utakua ni litoto LA mama!
Subiri kwanza dawa iwaingie mtakuja kunirejeshea mrejesho hapa hapa Jamii forum. I give all of you one month. Today is 23 July is it, then 23 August is approaching let's see nani mwenye akili kati ya mtukanaji na mjenga hoja.
 
Back
Top Bottom