Kwa nini walimu tuu? Hujaona madaktar, manesi, maaskar, ma bibi mifugo, na kada nyingine?
Wewe unaonekana una matatizo makubwa kuliko hata hao walimu.
Huo muda wa kufuatilia maisha ya watu na kujifanya wewe ndio mrekebishaji unautoa wapi ?
Kama Mwajiri wake hahangaiki naye sasa wewe inakuuma nini ?
Yaani maana yake, watoto wa kike waanze shule watakapofikisha umri wa miaka 15.
Kuna hoja kwa undani!
Mkuu ni pasua kichwa mjue labda kwa kuwasema wanaweza kubadilika kidogo
Hahahahaha njia ziko nyingi , wasimamizi inatakiwa wawe wanoko .Mkuu ni pasua kichwa mjue labda kwa kuwasema wanaweza kubadilika kidogo
hakuna hoja hapo,mleta mada amekimbilia kwenye matokeo badala ya chanzo. Msomi anatakiwa kutibu chanzo sio matokeo. Angeshauri uwekwe utaratibu mzito wa kupunguza tatizo ningemuelewaKuna hoja kwa undani!
2. Wasema ovyo, viburi kwa wakuu wao na wamejaa ushindani wa wao kwa wao unaoleta mabifu yasiyo na maana maeneo ya kazi na kudororesha upataji wa elimu wa watoto wetu.
Halafu wakimaliza wakae nyumbani, na akiolewa na 30yrs.kisha 35 yrs ndiyo kaanza kupata watoto inakaaje hapo, au unampangia Mungu kazi?hapana, shule wapige kama kawa
Bibi mifugo anamvalia kisketi kifupi ng'ombe sio ?Kwa nini walimu tuu? Hujaona madaktar, manesi, maaskar, ma bibi mifugo, na kada nyingine?
😂😂😂😂Bibi mifugo anamvalia kisketi kifupi ng'ombe sio ?
nimechokoza tu mada, wajuzi zaidi wanaweza kutafuta tiba kama matokeo tayari nimeyaainisha.........ifikirie hesabu hiihakuna hoja hapo,mleta mada amekimbilia kwenye matokeo badala ya chanzo. Msomi anatakiwa kutibu chanzo sio matokeo. Angeshauri uwekwe utaratibu mzito wa kupunguza tatizo ningemuelewa
katu siwezi kumpangia Muumba! najaribu tu kutumia sehemu ya ubongo aliotupatia katika kulikabili tatizo tulilolitengenezaHalafu wakimaliza wakae nyumbani, na akiolewa na 30yrs.kisha 35 yrs ndiyo kaanza kupata watoto inakaaje hapo, au unampamgia Mungu kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app