Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

namkumbuka mama matipani mwalimu wetu wa kemia,alikua na usafiri yaani mguu mzuuriiiiiii,na alikua anavaa vimini tu,halafu kafungasha balaa zegembe sio mchezo,basi akifundisha sie masela tunaangalia zegembe tu,na kumtamani kwa saaana,kipindi hicho tuko form two,tukijua kipindi cha kemia tu,tumejaa darasani madoja wooote,akawa anaamini tunapenda sana somo lake,kumbe tunampenda yeye zaidi,hasa zegembe lake.ila tuache utani yule dada alikua bomba sana.
 
Hpa ni kusema kuwa walimu vijana wasiajiriwe hadi watakapooa kwa sababu wanatongoza wanafunzi, akili mgando hizi.. Hayo uiyosema yana muongozo na adhabu zake,
 
Acha uwongo mtoa post kama binti wa kidato cha NNE chuchu zimelala huyo aliehitimu mpaka chuo ,hizo chuchu SAA sita zinatoka wapi? Acha hizo fictional stories

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja kama ina mashiko vile...ngoja hii corona ipite tutaifanyia kazi
 
namkumbuka mama matipani mwalimu wetu wa kemia,alikua na usafiri yaani mguu mzuuriiiiiii,na alikua anavaa vimini tu,halafu kafungasha balaa zegembe sio mchezo,basi akifundisha sie masela tunaangalia zegembe tu,na kumtamani kwa saaana,kipindi hicho tuko form two,tukijua kipindi cha kemia tu,tumejaa darasani madoja wooote,akawa anaamini tunapenda sana somo lake,kumbe tunampenda yeye zaidi,hasa zegembe lake.ila tuache utani yule dada alikua bomba sana.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom