Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

sawa mkuu, lakini nawe litafakari hili kwa kina pia
 
Nashangaa mpaka muda huu hakuna hata mmoja alietoa ushuhuda wa kumkula mwalimu kimasihara.
 
Hii hatari na mapendekezo ya ajabu, sisi tuliosoma shule mijini ambazo 98% ya waalimu ni wanawake ingekuwaje ?
 
Hii hatari na mapendekezo ya ajabu, sisi tuliosoma shule mijini ambazo 98% ya waalimu ni wanawake ingekuwaje ?
hata usiogope, wataendelea kuwepo tu tena wakiwa matured zaidi.
 
Point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichokisema kina ukweli sana ...hoja hii inheandikiwa makala maalumu kwenye gazeti la serikali

sent from HUAWEI
 
Mkuu acha ungese basi[emoji16]
Sisi tuliosoma uboizini ndio tunajua raha ya kufundishwa na akina Madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…