Ushauri kwa Spika: ili kulinda hadhi ya Bunge, kwamba si sehemu ya mzaha, Mbunge aliyepiga sarakasi apelekwe kamati ya Maadili, aombe radhi nchi

Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Huko ni kuonyesha ni Kwa namna Gani,lilivyo geuka holela,na waliomo kuwa wazururaji,wapiga kelele,wapiga sarakasi,walia Kwa maigizo na wasiozingatia hoja zinazozungumzwa🤔.
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Yule mbunge hakupiga sarakasi kama watu wanavyodai tatizo ni kiti anachokalia kilifyatuka, wataalamu toka Urusi waliitikia wito mara moja na kukirekebisha. Bunge linawapongeza wataalamu hao pamoja na vita waliweza kuja haraka kuokoa maisha ya mbunge huyo.
Pongezi kwa mwenyekiti wa chama.
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Mimi nimechukua kama kazi ya fasihi ukitafakari utaona alitumia sanaa kuwasilisha hoja yake kwa maana kwamba serikali ni wasanii na utendaji wao ni sarakasi tupu
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Naunga mkono.
 
Mkajenge barabara kule alikosema mbunge achana na mambo ya kuitwa kamati ya maadili
Wewe unaunga mkono Mbunge kubinuka sarakasi? Eneo la bunge Lina heshima yake, siyo mahali pa kubinuka sarakasi, pale ni hoja tu.
 
Alitakiwa ajenge hoja, Ile tabia sio ya kibunge, suruali yenyewe ya kichina, ingeachia nyuzi tukaona tarumbeta lake?

Hilo sio bunge, bali ni genge la majizi ya kura, wanaogopa nini wakati wanajua wako huko bungeni kwa maagizo ya dhalimu? Kama wako bungeni kwa kubaka uchaguzi na hawaogopi, ndio itakuwa kupiga Sarakasi?
 
Wewe unaunga mkono Mbunge kubinuka sarakasi? Eneo la bunge Lina heshima yake, siyo mahali pa kubinuka sarakasi, pale ni hoja tu.

Heshima gani iko bungeni wakati wameingia kwa njia za kihayawani?
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Ametumia body language kuwasilisha kile anachokitaka.Ni kitu Cha kawaida tu.Mbona nchi za ulaya ,wabunge wanazipiga bungeni ,kwa kutofautiana.Ije Leo kupiga sarakasi?Chinembe nafikiri hata Sarakasi ya kutembea na mikono hauwezi.Unamwonea wivu.
 
Lakini mkuu JokaKuu, enzi za Jiwe angethubutu kuruka sarakasi bungeni? Ni kama dharau hii.

Huyo mwendawazimu alitaka kuruka sarakasi hata kipindi cha dhalimu ila akakatazwa, japo wakati ule walidhani anatania na hawezi kupiga sarakasi. Huenda wakati ule alifanya utani, ila sasa ameamua afanye kweli baada ya kuona ombi lake halifanyiwi kazi, na yeye anajua hakuingia bungeni kihalali, hivyo ni bora atoe lawama kwa kufanya kituko ambacho anajua fika hata wananchi wake watajua aliwatetea.
 
..kilichosababisha mbunge akachukia na kuamua kupiga sarakasi ni ulaghai wa Ccm na uzembe wa serikali ktk kushughulikia kero na matatizo ya wananchi wa jimbo la Mbulu.
🤣🤣🤣
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Naunga mkono hoja. Huyu mpumbavu zao la uchafuzi 2020 awajibishwe ipasavyo. La sivyo, bunge ni kitchen party tu. Ni dhihaka kwa wanachi.
 
Ametumia body language kuwasilisha kile anachokitaka.Ni kitu Cha kawaida tu.Mbona nchi za ulaya ,wabunge wanazipiga bungeni ,kwa kutofautiana.Ije Leo kupiga sarakasi?Chinembe nafikiri hata Sarakasi ya kutembea na mikono hauwezi.Unamwonea wivu.
Sawasawa
 
.... amepiga samasolti? Ha ha ha; CCM ni vituko kweli kweli.
 
Yuko sahihi sana tu.. Maana hakukuwa na namna nyingine ya kufikisha ujumbe
 
mzuka ulimpanda tu asamehewe na ajengewe barabara yake!!hivi ni kweli serikali haina pesa kujenga hiyo barabara moja tu miaka 20 yote wanamzungusha au kuna figisu?aende kwa Mama atamsikiliza bungeni wanamzingua tu!!

tatizo ni kuwa wabunge wengine nao wataiga staili ya sarakasi na Bunge halitakalika kila mbunge akijitengea eneo lake na kuanza kupiga samasoti kama Simon Msuva wa Taifa Stars!!
 
Wewe unaunga mkono Mbunge kubinuka sarakasi? Eneo la bunge Lina heshima yake, siyo mahali pa kubinuka sarakasi, pale ni hoja tu.
tunachoangalia ujumbe wake umefika nchi nzima ila njia aliyoitumia inazingua! critically thinking ni kuwa aliangalia jinsia inayokalia kiti cha spika na kuona poa tu! ili kulipa heshima Bunge anastahili adhabu kuzuia wengine kupiga sarakasi.

Je wakati wa spika Sitta au Ndugai angepiga samasoti?au labda ana faili mirembe bunge lifuatilie huko!!

kiufupi mfumo dume una sura nyingi! jamaa aliwaza spika ni mwanamke kama mke wangu nyumbani hawezi kunizuia kuruka samasoti nilizojifunza skuli!!

asipoadhibiwa ataunda kikundi cha kuruka samasoti bungeni na siku moja wataruka sarakasi wabunge kumi kwa pamoja itakuwa a big and sweet surprise!
 
Back
Top Bottom