Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Unajua ni kwanini hizo nchi zilizoendelea wanaweza kuwadaka kirahisi?Brother Dunia inaenda kasi sana kwenye Technology hakuna ugumu wa hao kukamatwa labda uwe nyuma ya Technology Nchi zilizoendelea huo ujinga ukiufanya hata nusu saa kubwa unadakwa hapo hapo ulipo usiseme ni ngumu sema sijui kitu hapo..
Ni kwakuwa hawawezi kwa urahisi kusajili hivyo vifaa kwa kutumia taarifa za watu wengine.
Na hapa Tz tatizo sio technolojia bali ujinga wa wananchi. Unaweza kukutw hata wewe pengine haujawahi kuhakiki idadi ya namba ziluzosajiliwa kwa NIDA yako.
Ingekuwa kila mtanzania anakagua idadi ya namba zilizosajiliwa na akafuta ambazo hazitambui basi hawa matapeli wasingekuwa wanafanikiwa kiasi hichi.
mwisho kabisa, kumkamata mtu na kuthibitisha kuwa ni tapeli hivyo ni vitu viwili tofauti sana, na wengi wa hao matapeli ni ngumu kuthibitisha ni matapeli sababu ya hayo niliyosema hapo juu.
Tafuta kesi ambazo serikalu imefanikiwa kuwakuta na hatia ya utapeli, zaidi utaona habari za wamekamatwa ilamatokeo ya kesi huyaonii 😂😂 unafikiri ni kwanini?