Ushauri Kwa TCRA na Jeshi la Polisi

Ushauri Kwa TCRA na Jeshi la Polisi

Brother Dunia inaenda kasi sana kwenye Technology hakuna ugumu wa hao kukamatwa labda uwe nyuma ya Technology Nchi zilizoendelea huo ujinga ukiufanya hata nusu saa kubwa unadakwa hapo hapo ulipo usiseme ni ngumu sema sijui kitu hapo..
Unajua ni kwanini hizo nchi zilizoendelea wanaweza kuwadaka kirahisi?

Ni kwakuwa hawawezi kwa urahisi kusajili hivyo vifaa kwa kutumia taarifa za watu wengine.

Na hapa Tz tatizo sio technolojia bali ujinga wa wananchi. Unaweza kukutw hata wewe pengine haujawahi kuhakiki idadi ya namba ziluzosajiliwa kwa NIDA yako.

Ingekuwa kila mtanzania anakagua idadi ya namba zilizosajiliwa na akafuta ambazo hazitambui basi hawa matapeli wasingekuwa wanafanikiwa kiasi hichi.

mwisho kabisa, kumkamata mtu na kuthibitisha kuwa ni tapeli hivyo ni vitu viwili tofauti sana, na wengi wa hao matapeli ni ngumu kuthibitisha ni matapeli sababu ya hayo niliyosema hapo juu.

Tafuta kesi ambazo serikalu imefanikiwa kuwakuta na hatia ya utapeli, zaidi utaona habari za wamekamatwa ilamatokeo ya kesi huyaonii 😂😂 unafikiri ni kwanini?
 
Mkuu hayo mambo unayaongelea Tanzania hapa SA usajiri kwa namba yeyote unajulikana ulipo hata line ikitupwa baharini itaonekana mambo ya kusajiri ni kumkamata muhusika ila sio kujua line inayofanya uhasi ipo wapi ?hiyo ni rahisi kama unavyoisajiri gari kwenye mitandao uwe unaiona ilipo ila usihusishe usajiri na kuonekana kwa line mkuu...wenzetu wana vikosi vya Tit for tat vya kumata waharifu bila kwenda kutoa taarifa kwanza kwenye TV utasikia tu wapo mahakamani...
Hapa kwetu waharifu wanatangaziwa msako kwenye ITV kwanza nao ikiwezekana wakimbie..
 
Mkuu pengine kuna jambo hulifahamu juu ya uthibiti wa uhalifu. Ila nakuhakikishia hata ukavishusha vikosi vya FBI hapa nchini vishughulike na huu uhalifu wa mtandaoni, kama hatutabadili mifumo ya utambuzi wa vifaa vya mawasiliano bado hawataweza kukamata na kuwakuta na hatia hao wahalifu.

Mfumo wetu wa utambuzi wa vifaa vya mawasiliano ni mbovu sana. Nitakupa mfano sisi tunatambua sim card kwa kuzisajili ila hatuvitambui vifaa vinavyokaa hizo sim card kwa kuvisajili.
 
kuhusiana na iyo changamoto ya utapeli mitandaoni niliwai kutoa ushauri humu jukwaani.

kama tumeweza kuingia kwenye mfumo wa kusajili kwa vidole nchi nzima,basi na kutoa hela pia tutoe kwa vidole.
mawakala wa kusajili wamepewa scaner za kusajili kwa finger print,pia na mawakala wa kutoa hela wapewe izo scaner za finger.

mtu akitoa hela mwisho wa kuverify muamala aweke kidole kwenye scaner ya wakala ndipo pesa ikubali kutoka.

hapo matapeli watafeli kwasababu wanatumia laini ambazo hazina usajili wao,hivyo akienda kuweka kidole ili kutoa pesa alizoiba mtandaoni scaner haita verify mualamala wake na pesa haitotoka kwasababu laini haikusajiliwa kwa vidole vyake.
 
Brother mashine ina uwezo wa kujua hii sim card ipo kwenye simu ipi ndio maana ya IMEI usiwazungumzie FBI ambao walikuja kuwatoa Mafundi gereji wote waliokua ndani kipindi cha ubalozi wa USA ulivyolipuliwa na kwenda kuwakamata watu SA Cape Town na mwingine Kandahari wenzetu wapo mbali kuliko unavyodhania wanatambaa kama sisi mimi nimebahatika kwenda kwenye ma mitambo yao hao huko Nje ndio maana nakwambia nachokifahamu...Nchi zilizoendelea kumkamata mtu akiwa na line kwenye simu hata ukiizima hiyo simu unakamatwa sasa hawa wahuni wanakua na line karibu 50 harafu hakuna hata mtu mmoja anakamatwa na wewe unasema washushwe FBI aisee...
 
Nimetoka kusoma uzi na kupokea simu ya utapeli. Ukistuka unapokea matusi. Na hizi simu mara nyingi hupigwa nikiwa na hela. Hii ni hujuma
 
Kwa hiyo mkuu ukipokea msg ikuambia tuma pesa kwa namba hii we unatuma tu faster,bila kuuliza....

Ova
Alafu tukiambiwa sisi ni wajinga tunakasirika.maana huko wala sio kutapeliwa ni ujinga tu.Mtu unatumiwa tu meseji bila ata kucros check unatuma ela.Huo kama sio ujinga ni nini.Haya mambo yanaendelea kwasababu ya ufinyu wetu wa kufikiri.
 
Kweli kabisa

Ova
 
TCRA na Polisi wanajua! Ndiyo maana Polisi huwa wanatoa jumbe za kutahadharisha wananchi.Na tahadhari wanayotoa ni kutofuata maelekezo ya sms hizo!
 
kuhusiana na iyo changamoto ya utapeli mitandaoni niliwai kutoa ushauri humu jukwaani.

kama tumeweza kuingia kwenye mfumo wa kusajili kwa vidole nchi nzima,basi na kutoa hela pia tutoe kwa vidole.
mawakala wa kusajili wamepewa scaner za kusajili kwa finger print,pia na mawakala wa kutoa hela wapewe izo scaner za finger.

mtu akitoa hela mwisho wa kuverify muamala aweke kidole kwenye scaner ya wakala ndipo pesa ikubali kutoka.

hapo matapeli watafeli kwasababu wanatumia laini ambazo hazina usajili wao,hivyo akienda kuweka kidole ili kutoa pesa alizoiba mtandaoni scaner haita verify mualamala wake na pesa haitotoka kwasababu laini haikusajiliwa kwa vidole vyake.
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom