Ushauri kwa TV1

Kikweli mimi cjawahi hata kupozi tu kuangalia, nikiona naruka fastaa
 
Kipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Labla madogo wa huko kwenu,

Jamaa huwa simpendi hatari yaani anaboa sana! Watu wazima wanao penda kipindi chake sijui watakuwa na akili za aina gani!
 
Labla madogo wa huko kwenu,

Jamaa huwa simpendi hatari yaani anaboa sana! Watu wazima wanao penda kipindi chake sijui watakuwa na akili za aina gani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua wa chattle
 
Labla madogo wa huko kwenu,

Jamaa huwa simpendi hatari yaani anaboa sana! Watu wazima wanao mpenda sijui watakuwa na akili za hali gani!
Vijana wengi hawapendi comedy, unajua kila mtu anahobby yake, watoto wa shule na wamama wanapenda sana commedy za MC pilipili.

Huwezi kuchekeshwa na comedian kama hupendi comedy, kila mchekeshaji anatakiwa kuwa mbunifu sio wote wawe kama Mzee majuto. Kama hoby yako ni tamthilia, series au action movies basi utainjoy hizo, kuhusu commedy huwezi kuinjoy utaona vituko tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua wa chattle
Mimi sio wa chato ni mwananchi wa kawaida tu:
Una hobby ya commedy katika damu yako??
Tanzania unamkubali nani na nani katika tasnia ya uchekeshaji?
 
Mimi sio wa chato ni mwananchi wa kawaida tu:
Una hobby ya commedy katika damu yako??
Tanzania unamkubali nani na nani katika tasnia ya uchekeshaji?
Ndiyo Nina hobby ya comedy..

Namkubali mpoki,katarina,na wale jambo na vijambo
 
Wewe kama mimi mc pili hafai sauti mbaya kinaboa sana
 
Kipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Hahaha
We jamaa una undugu na madam Ritha wa BSS!!?
Haiwezekani we kila mtu unasema anafanya fresh tuu, akat wenzio wana pinga
 
Hahaha
We jamaa una undugu na madam Ritha wa BSS!!?
Haiwezekani we kila mtu unasema Nafanya fresh tuu, akat wenzio wana pinga
*Natetea uwezo na kipaji cha MC pilipili mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*Nawawakilisha mashabiki ambao ni wamama wa nyumbani na watoto wa shule wanamkubali sana MC pilipili na wanamjua kiukweli ukweli kwenye kazi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…