Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora pilipili mbuzi inamuwashoHuyu naona ni pilipili mbuzi
[emoji2] [emoji2] uwe unaruka taratibuKikweli mimi cjawahi hata kupozi tu kuangalia, nikiona naruka fastaa
Labla madogo wa huko kwenu,Kipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua wa chattleLabla madogo wa huko kwenu,
Jamaa huwa simpendi hatari yaani anaboa sana! Watu wazima wanao penda kipindi chake sijui watakuwa na akili za aina gani!
Ndiyo ivyo tena inchi yetu hii[emoji12] [emoji12]vipindi vya TV bongo ubunifu bado saana
Vijana wengi hawapendi comedy, unajua kila mtu anahobby yake, watoto wa shule na wamama wanapenda sana commedy za MC pilipili.Labla madogo wa huko kwenu,
Jamaa huwa simpendi hatari yaani anaboa sana! Watu wazima wanao mpenda sijui watakuwa na akili za hali gani!
Ndiyo ivyo tena inchi yetu hii[emoji12] [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna vipindi vingine kuviangalia inahitaji uwe umekunywa vidonge vya maumivu
Mimi sio wa chato ni mwananchi wa kawaida tu:[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua wa chattle
Ndiyo Nina hobby ya comedy..Mimi sio wa chato ni mwananchi wa kawaida tu:
Una hobby ya commedy katika damu yako??
Tanzania unamkubali nani na nani katika tasnia ya uchekeshaji?
Wewe kama mimi mc pili hafai sauti mbaya kinaboa sanaKuna kipindi kinaitwa the clip .
yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo
Kwa ushauri wangu kuliko muweke kipindi cha mc pilipili ni bora muweke kipindi cha mapishi tujifunze kupika kababu na kachori au bagia zitatusaidia hata kunywea chai
Vinginevyo huyo mc pilipili abadili abadili aina ya comed aifanyayo TV1 labda anaweza wavutia watizamaji maana anapoteza muda tu
Japo maneno yangu sio sheria lakini ukweli nmesema
[emoji3] [emoji3]Kuna vipindi vingine kuviangalia inahitaji uwe umekunywa vidonge vya maumivu
Vizuri sana.Ndiyo Nina hobby ya comedy..
Namkubali mpoki,katarina,na wale jambo na vijambo
HahahaKipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Kwasababu ni mwl waoVizuri sana.
Sasa unahisi kwa nini watoto wa shule wanampenda sana MC pilipili
*Natetea uwezo na kipaji cha MC pilipili mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hahaha
We jamaa una undugu na madam Ritha wa BSS!!?
Haiwezekani we kila mtu unasema Nafanya fresh tuu, akat wenzio wana pinga