Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kama hawakujifunza 2015 basi itachukua miaka 1000 kujifunza. Membe is another Lumumba project to destroy Genuine OppositionGood point.Wapinzani wajifunze kutoka kwenye historia.
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisaMtaji wa CCM ..
1) Wananchi wenye Elimu ya chinii kabisa ( ambao ndio wengi sana )
2) Vyombo vya Dola.
Upinzani unapaswa UCHANGAMANE na B.Membe lakini USICHANGANYIKANE naye.
Membe hawezi kukataa Matokeo ya wizi wa kura ya CCM, hawezi kuhamasisha nguvu ya umma kupinga wizi wa kura na uonevu wa CCM. Na kama upinzani hawajui HII NDO NJIA PEKEE YA KUIONDOA CCM MADARAKANI.Mtaji wa CCM ..
1) Wananchi wenye Elimu ya chinii kabisa ( ambao ndio wengi sana )
2) Vyombo vya Dola.
Upinzani unapaswa UCHANGAMANE na B.Membe lakini USICHANGANYIKANE naye.
Saivi kaenda kuwafanyia ujasusi Upinzani. Wakimuendekeza siri zao zote anapeleka upinzaniNina maadui 11 ikifika 2016 watakimbilia Kenya
Sijamsikia membe anasimamia nini,hii Inanipa wasiwasi kama kweli Yuko fit kwa mapambano.Nilitoa ushauri kama huu week iliopita hapa, naunga mkono hoja, hio iko wazi labda mbumbumbu ndie ataepinga
Hakuna mpinzani wa kweli kwenye kizazi cha TISS ya nyerereAcheni uchawi.mbona mnataka kuharibu mambo.Membe ni mpinzani kama wengine msimnyanyapae.
Mwacheni kachero mbobezi atiririke.
Nafasi ya juu ambayo upinzani wanaweza kumpa Membe ni Waziri Mkuu. Na hapo wasimuhusishe kwenye mikakati yao ya ndani.Sijamsikia membe anasimamia nini,hii Inanipa wasiwasi kama kweli Yuko fit kwa mapambano.
Ushauri una option mbili ni kuuchukua hata kuukataa.Wewe ni nani hata kutoa ushauri, una impact gn kwenye upinzani wa tz!! Wacha twende na BM 2020, mwaka huu gia inabadilishwa majini!
Naunga hoja mkono kwa 100%.Kama hawakujifunza 2015 basi itachukua miaka 1000 kujifunza. Membe is another Lumumba project to destroy Genuine Opposition
Chadema itachukua nchi wakimsimamisha Lissu. Mtu mwenye hulka ya upiganaji kweli. Bila watu kama Lissu na Heche wanaoweza kumobilize public pressure kwa CCM , upinzani wasahau kuchukua nchi.Membe yuko vizuri tuacheni na sisi chadema tuchukue nchi.
Membe agombee ubunge kupitia chadema ili awe KUBNaomba mods msiuunganishe huu uzi!
Huu ni ushauri wangu kwa vyama vya upinzani! Mmesikia Membe amejitoa CCM, Huu ni mkakati wa chama Tawale kuhakikisha,
1. kwanza kupunguza kura zenu. Hii ni pale Act na Chadema wasipoungana
2. kuhakikisha CCM wanakuwa na taarifa zote za mipango na mikakati yenu. Msijidanganye, taarifa zenu zote zitakuwa White House Dodoma na Lumumba Dar es Salaam.
3. Membe akipeperusha bendera ya upinzani, CCM wakiiba kura Membe hawezi pinga matokeo na kulianzisha . Atakubali kushindwa. NA HII NDO TARGET KUBWA YA CCM. CCM wanaogopa Lissu anaweza kukataa matokeo na kuhamasisha watu kuingia mtaani endapo wataiba kura na kupoka ushindi wa upinzani hivyo vyovyote vile wako tayari kwa gharama yeyote upinzani asimame mtu ambae hatopinga ushindi wao. 2015 walimpandikiza Lowassa na sasa 2020 wamempandikiza Membe
Ushauri kwa Upinzani.
Vyovyote vile hata Act na Chadema wakiungana, Lissu ndo apewe kupeperusha bendera. Kama Membe mnamhitaji mpeni nafasi ya kuwa Waziri Mkuu mtakapochukua nchi/dola na kwa vikao vyenu vya ndani naomba msimshirikishe Membe.
Namalizia kwa kusema ACT NA CHADEMA muungane. Zanzibar Mgombea awe Maalim Seif na Msaidizi Fatma Karume
Na kwa Bara mgombea awe Tundu Lissu na Membe aandaliwe nafasi ya Waziri Mkuu. Mgombea mweza kwa bara mtachagua yeyote yule.
Chadema itachukua nchi wakimsimamisha Lissu. Mtu mwenye hulka ya upiganaji kweli. Bila watu kama Lissu na Heche wanaoweza kumobilize public pressure kwa CCM , upinzani wasahau kuchukua nchi.