DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Membe agombee ubunge kupitia chadema ili awe KUB
Magufuli agombee ubunge awe KUB
Membe agombee ubunge kupitia chadema ili awe KUB
Mwache akafanye kazi yake.kwa tiss kila jambo ni mkakati.Hakuna mpinzani wa kweli kwenye kizazi cha TISS ya nyerere
Mkuu muungano wa fatuma kalume na Maalim itatosha sana znbNaomba mods msiuunganishe huu uzi!
Huu ni ushauri wangu kwa vyama vya upinzani! Mmesikia Membe amejitoa CCM, Huu ni mkakati wa chama Tawale kuhakikisha,
1. kwanza kupunguza kura zenu. Hii ni pale Act na Chadema wasipoungana
2. kuhakikisha CCM wanakuwa na taarifa zote za mipango na mikakati yenu. Msijidanganye, taarifa zenu zote zitakuwa White House Dodoma na Lumumba Dar es Salaam.
3. Membe akipeperusha bendera ya upinzani, CCM wakiiba kura Membe hawezi pinga matokeo na kulianzisha . Atakubali kushindwa. NA HII NDO TARGET KUBWA YA CCM. CCM wanaogopa Lissu anaweza kukataa matokeo na kuhamasisha watu kuingia mtaani endapo wataiba kura na kupoka ushindi wa upinzani hivyo vyovyote vile wako tayari kwa gharama yeyote upinzani asimame mtu ambae hatopinga ushindi wao. 2015 walimpandikiza Lowassa na sasa 2020 wamempandikiza Membe
Ushauri kwa Upinzani.
Vyovyote vile hata Act na Chadema wakiungana, Lissu ndo apewe kupeperusha bendera. Kama Membe mnamhitaji mpeni nafasi ya kuwa Waziri Mkuu mtakapochukua nchi/dola na kwa vikao vyenu vya ndani naomba msimshirikishe Membe.
Namalizia kwa kusema ACT NA CHADEMA muungane. Zanzibar Mgombea awe Maalim Seif na Msaidizi Fatma Karume
Na kwa Bara mgombea awe Tundu Lissu na Membe aandaliwe nafasi ya Waziri Mkuu. Mgombea mweza kwa bara mtachagua yeyote yule.
Familia ya Karume ina ushawishi sana Zanzibar. Fatma akiwa upande ule na huku kuna Lissu CCM watakuwa na hali mbaya sanaMkuu muungano wa fatuma kalume na Maalim itatosha sana znb
Yes, it isIts just matter of time.