Ushauri kwa Upinzani- Membe asiingizwe kwenye mikakati yenu

Mkuu muungano wa fatuma kalume na Maalim itatosha sana znb
 
Mkuu muungano wa fatuma kalume na Maalim itatosha sana znb
Familia ya Karume ina ushawishi sana Zanzibar. Fatma akiwa upande ule na huku kuna Lissu CCM watakuwa na hali mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…