Ushauri Kwa Urusi : Huwezi kuwaangamiza mchwa bila kumuua Malikia wao, Mwenzako Japan alilijua hilo na akajaribu Bahati yake

Ushauri Kwa Urusi : Huwezi kuwaangamiza mchwa bila kumuua Malikia wao, Mwenzako Japan alilijua hilo na akajaribu Bahati yake

Haya yote unafikiri vyombo vya ulinzi vya Russia havitambui? Kama UK tu ameweza sambaza Javeline na kuangamiza misafara yote ya Russia Ukraine, what if UK ndo angeingia vitani ground battle dhidi ya Russia? Si wangepasua njia mpaka Russia?

Sasa huyo ni mshirika tu wa US, US mwenyewe muweke pembeni. Russia anafikiria mno kupambana na US, lakini kitu pekee anachosita ni uimara wa zana zake.

Kama vifaru vyake vya kisasa vimeweza kuwekwa chini kizembe vile pale Ukraine, ana uhakika gani hizo Nuclear zake pamoja na Submarines zinaweza tikisa anga la US while US kabla ya kumfikia sehemu nyingi mno ana Base?

US sana sana anamfikiria NATO, akiingia vitani na Russia, Ulaya inaweza ikaathirika zaidi kwa silaha uchwara za Urusi lakini sio US.

Hakuna taifa nilikuwa naliamini ktk medani za Vita kama Russia, ila kupitia hii ya ukraine nimeona ni taifa la kawaida tu, sema ubaya ni kwamba kuna Nuclear kwao, na nina mashaka sasa na hizo Nuclear. Nchi gani inalipuliwa kituo kikubwa cha mafuta kwa helcopter? Hizo s300, s400 defence systems zilizimwa au?

Katika medani hii ya kivita na propaganda, US, German, France na UK ni moto mwingine. Huu ni ukweli mchungu.

Tukumbuke pia hata kiuchumi Russia hamgusi Japan, weka mbali hao jamaa hao juu, Japan mwenyewe tu hamgusi kipesa.
Pamoja na yote, tusi-underestimate uwezo wa kijeshi wa Russia. Ni miongoni mwa nchi zenye best missile systems katika masuala ya defense (nafahamu kuna debates mbalimbali kuhusiana na theoretical capabilities za silaha ukilinganisha na performance katika mapambano).

Pia, ni miongoni mwa nchi zenye share mkubwa katika uuzaji wa silaha kwenye soko la dunia.

Hata hivyo, hili suala la Ukraine limetia doa uwezo wao kwa kiasi fulani. Hilo ni kutokana na objectives walizojiwekea zikiwemo tunazozijua pamoja na nature ya vita ambayo wamekuwa wakipigana.

Nadhani niliwahi kusema awali mahali fulani humu kuhusiana na masuala ya muhimu katika kufanikisha malengo mahususi katika vita hasa zenye nature ya uvamizi (invasion).

Invasion lazima iwe na malengo ambayo yanapaswa kuwa achieved kwa gharama ambayo lazima ifanyiwe mahesabu yenye usahihi. Military strategy inapaswa kuzingatia movements sahihi za majeshi pamoja na anticipation ya kiwango cha upinzani kitakachotokana na adui. Hapa ndipo tunapoona utofauti kati ya "operation" na "campaign".

Kumekuwa na makosa ya kiufundi katika hilo kwa upande wa Russia. Resistance ya Ukraine imeonekana sana, pia kutokana na flow ya silaha kutoka nje. Objective kuhusu "de-militarization" kupitia jeshi haijaonekana kuwa achieved ipasavyo hadi sasa. Tusubiri tuone kama itaweza kuwa achieved kwenye mazungumzo yanayoendelea.

Hayo pamoja na masuala mengine ya kiraia kama 'local support' katika sehemu yenye uvamizi n.k. yanapaswa kuzingatiwa ili kutengeneza kitu kinachofahamika kitaalamu kama, technical feasibility, ambapo kwa case hii, pamoja na objectives tulizoambiwa, uvamizi haukuwa technically feasible.
 
U.S kasandaje Syria huku akimiliki visima vya mafuta dozens kadhaa na tumeshuhudia mara kibao kila jeshi la Russia likisogeza pua linapigwa kichapo cha mbwa mwizi.
RUSSIA kapigwaje UKRAINE wakati mpaka sasa ana DON BAS KHARKIV nk
Kila jeshi la UKRAINE likijiinua linapelekewa moto
 
Ninavyojua mimi Russia troops zinaondoka kiev kama alama ya nia nzuri ili kuhusu mazungumzo yanayoendelea.
Kitu ambacho nna uhakika nacho ni kua mwisho wa siku Ukraine hawatajiunga nato, wasahau kuhusu donbase na crimea .

Hao wababe unaowasema walishinda vita gani zaidi ya iraq chovu? Tena walienda kama alliance.
Hv jimbo la DON BAS lina miji mingapi msaada MKUU
 
Labda wewe tu ndo ujui ila wanaojua mambo ya vita ni jambo la kawaida kifaru kupigwa na anti tank weapons.hakuna ambaye ajakutana na changamoto hii kwenye vita yoyote kubwa duniani.
Merkava tank za israel zililipuliwa na Kornet ATGM za warusi mpaka waisrael wakaenda urusi kulalamika kuwa Assad asiuziwe Anti tank maana yeye anasambaza silaha kwa makundi ya ya waasi.

Pia hata iraq war Abram tank zililipuliwa na Ant tank za Warusi.kwa iyo hakuna jipya hapo
Hayo machuma machuma ya Hypersonic ni mbwembwe kama mbwembwe nyingine tuuu, hata iyo nuclear weapons ni mbwembwe kama mbwembwe nyingine tuuu. Kuna MTU aliyejua kuna St. Javelin za kuangamiza vifaru, si tumekutana nazo kwy vita ya Ukraine. Je nani anajua silaha alizojipga nazo USA
 
Hv jimbo la DON BAS lina miji mingapi msaada MKUU
Ina miji miwili mikubwa ambayo ni luhansk na Donetsk amabayo kwa pamoja huitwa donbase. Lakini ndani yake kuna miji midogo midogo unaweza kupita mtandaoni kusoma zaid, ila kwa ukubwa ni miongoni mwa miji minne mikubwa pale ukraiane
Screenshot_20220404-203455_Chrome.jpg
 
Mimi ni Pro Russia, lakini kiukweli Russia wamekuwa exposed sana kwenye hii vita ya Ukraine. Labda kama malengo yao chini ya kapeti sio yale waliyoyatangaza kwenye media..

US na Russia wakiingia vitani kitu pekee cha kuogopesha ni Nuclear tu, ila US ana uwezo mkubwa wa kushinda vita.

I stand to be corrected though..
Sijui washabiki wa U,S,A mnakwama wapi,marekani kama ana nguvu angeipiga cuba,au Venezuela,nchi hizo zoote zinarindwa na russia,lkn ni nchi gn anayoilinda usa ambayo haiwezi kupigwa na russia?
 
Cuba ana influence kubwa sana kidiplomasia pengine kushinda hata Urusi na ndio maana Marekani inaiheshimu Cuba sio kwamba inaiogopa

Cuba ndio pia taifa lenye influence kubwa kwa mataifa ya Africa pamoja na ya America ya kusini

Kutokana na msaada mkubwa wa nguvu hasa kupambana na Ubaguzi wa Rangi na makabulu
 
Sijui washabiki wa U,S,A mnakwama wapi,marekani kama ana nguvu angeipiga cuba,au Venezuela,nchi hizo zoote zinarindwa na russia,lkn ni nchi gn anayoilinda usa ambayo haiwezi kupigwa na russia?
Marekani aende akashambulie Cuba na Venezuela anatafuta nini ? Wana kitu gani tishio Kwa US? Uchumi , jeshi ama nini cha kufanya US akawachokonoe...
 
Hayo machuma machuma ya Hypersonic ni mbwembwe kama mbwembwe nyingine tuuu, hata iyo nuclear weapons ni mbwembwe kama mbwembwe nyingine tuuu. Kuna MTU aliyejua kuna St. Javelin za kuangamiza vifaru, si tumekutana nazo kwy vita ya Ukraine. Je nani anajua silaha alizojipga nazo USA
Mueleze muelezeee, mimi awali nilijua hakuna taifa kama Russia kwenye ishu za vita lakini kwa tukio hili la Ukraine, Russia wa kawaida mno.

Assume Ukraine angekuwa ndo UK au France au German. Si watu wangekuwa wapo Moscow muda huu.
 
Haya yote unafikiri vyombo vya ulinzi vya Russia havitambui? Kama UK tu ameweza sambaza Javeline na kuangamiza misafara yote ya Russia Ukraine, what if UK ndo angeingia vitani ground battle dhidi ya Russia? Si wangepasua njia mpaka Russia?

Sasa huyo ni mshirika tu wa US, US mwenyewe muweke pembeni. Russia anafikiria mno kupambana na US, lakini kitu pekee anachosita ni uimara wa zana zake.

Kama vifaru vyake vya kisasa vimeweza kuwekwa chini kizembe vile pale Ukraine, ana uhakika gani hizo Nuclear zake pamoja na Submarines zinaweza tikisa anga la US while US kabla ya kumfikia sehemu nyingi mno ana Base?

US sana sana anamfikiria NATO, akiingia vitani na Russia, Ulaya inaweza ikaathirika zaidi kwa silaha uchwara za Urusi lakini sio US.

Hakuna taifa nilikuwa naliamini ktk medani za Vita kama Russia, ila kupitia hii ya ukraine nimeona ni taifa la kawaida tu, sema ubaya ni kwamba kuna Nuclear kwao, na nina mashaka sasa na hizo Nuclear. Nchi gani inalipuliwa kituo kikubwa cha mafuta kwa helcopter? Hizo s300, s400 defence systems zilizimwa au?

Katika medani hii ya kivita na propaganda, US, German, France na UK ni moto mwingine. Huu ni ukweli mchungu.

Tukumbuke pia hata kiuchumi Russia hamgusi Japan, weka mbali hao jamaa hao juu, Japan mwenyewe tu hamgusi kipesa.

Nami nimetafakari sana mkuu kama wewe, kama hivi vi kombora vya UK vimemaliza vile vifaru bora kabisa saaasa hivi wangetunushiana msuli UK na Russian kabisa kwamba pawe na fair war isio na nuke kweli russia anatoboa??? Nahisi ni week tu Malkia yuko Moscow, lakini lingine ambalo umegusia na wanadamu wachache saana wanajua ni kwamba kuna jambo US analijua kuhusu NuKe za russia, kumbuka huyu UK anavyosogeza zana kila siku permit inatoka US, naona western hakuna mwenye woga tena na hizi nuke, lakini kuna makala moja ilitolewa mahala haikudum hata dk 7 Pentagon wakaiondoa walikuwa wanaongelea namna gan US satelite inaweza jam Russia nuke satelite ambayo ndio inatoa signal zoote baada ya authorization…… russia atafakari saana wenzao wako kimya wanamsoma silaha zake zoote kwa sasa
 
Mueleze muelezeee, mimi awali nilijua hakuna taifa kama Russia kwenye ishu za vita lakini kwa tukio hili la Ukraine, Russia wa kawaida mno.

Assume Ukraine angekuwa ndo UK au France au German. Si watu wangekuwa wapo Moscow muda huu.
Pia na wewe acha kuichukulia poa Ukraine. Alafu wanaopigana pale Ukraine sio Ukraine peke yake.

Mnajifanya kuwaita mercenaries kumbe ni majeshi ya West huko..
 
Mimi ni Pro Russia, lakini kiukweli Russia wamekuwa exposed sana kwenye hii vita ya Ukraine. Labda kama malengo yao chini ya kapeti sio yale waliyoyatangaza kwenye media..

US na Russia wakiingia vitani kitu pekee cha kuogopesha ni Nuclear tu, ila US ana uwezo mkubwa wa kushinda vita.

I stand to be corrected though..
Natazama vijana wengi ambao wapo humu JF wakijiita Pro Russia, wengi ni wa miaka ya hivi karibuni, mimi hii ID yangu ni toka 2011, lakini haimaanishi kuwa nimeijua JF 2011, niliijua muda tu.

Tunapowaambia kuwa hata sisi tulikuwa tunaiamini mno Russia hawatuelewi, wanatuona washamba kama wao, wakitaka wathibitishe hili watazame posts zetu za nyuma, kuna thread moja kali saaana inazungumzia masuala ya S300. Ile thread ina nondo balaa, wakiipata wakatazame michango yetu mule namna tulivyokuwa tukiipamba Russia.

Leo hii tunapokuja kuishusha thamani Russia kupitia vita hii wanaona kama vile tunaikosea heshima russia lakini Ukweli ni kwamba Russia hana ile power kama ambayo tunaidhania.

Acha wabeze tu ila ipo siku na wao wataamini haya tusemayo.
 
Back
Top Bottom