Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Sio kila mwanamke anabidi kuolewa haijalishi yupo kwao au gheto.


Hata JAY Z analijua hili .
Jay z is a high value man, naona mnajifananisha na Jay Z, thamani yake inatosha kumtuliza mwanamke yoyote, fame, money, power e tc. Sasa mtu unakaa geto kitanda na jiko la gesi afu upige kelele humu, tafuta hela uprovide na ku protect kwanza.
 
Kama bado hujaoa, usikimbilie kuoa hasa hasa usioe mwanamke anaeshi geto usije kujuta baade. Kila kitu kina wakati wake, na ni muhimu kuchagua mwenzi sahihi kwa maisha ya baadaye. Chukua muda kumjua mpenzi wako vizuri, usifanye maamuzi kwa pupa, na hakikisha kuwa upo tayari kiakili, kihisia, na kifedha kabla ya kuchukua hatua hiyo muhimu. Ndoa ni jambo la kudumu, hivyo ni bora kusubiri na kufanya uamuzi sahihi kuliko kujuta baadaye."
Sasa kwa sababu mimi ni mzee haya yote uliyoyasema hapa nayajua. Ushauri wako kwangu zaidi ya haya ni upi?
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja

mbona wanatusema eti hatukui?
 
Back
Top Bottom