X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #21
Yap unatakiwa ukipata nafasi uchote ulale mbele...ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Ndio maana wafanyakazi wa TRA na Bandari wanaiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap unatakiwa ukipata nafasi uchote ulale mbele...ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Ndio maana wafanyakazi wa TRA na Bandari wanaiba.
Hiyo ndio Tanzania sasa. Haki vile wewe unenielewa haswa. Inasikitisha Kila ninapo fanya kazi najikuta naacha mwenyewe. Mimi sipendi kuwa chawa, sipendi kuonewa, sipendi kutumikishwa. Sipendi kunyonywa mbaya Zaidi yote ninayo yachukia yanafanywa kwenye ajira zetu hizi. Nimeacha kazi kampuni Zaidi ya 4😠Moja wapo hapo Hadi nilishitakiana nao mahakamaniPoint kubwa sana Hii:
"kama unaona kipimo chako cha Unyenyekevu ni kidogo, ajira za kitanzania zitakushinda"
Hapa ndo palinifanya niache kazi yangu, na sijawahi kujuta kabisa.
Ila wa Bongo wengi ni wanafiki, waongo, washirikina, washenzy, na kujipendekeza.
Kama hauna hizo sifa hapo juu na unataka kudumu kwenhe ajira lazima uwe:
- Mtu wa Mungu sana.
- Mshirikina wa kutupa.
Ni jambo gumu sana mwanamke kuajiriwa, I cant imagine, wanawake wanapitia magumu sana.
Wanaume tutafute hela kwa bidii, hawa wake zenu vijana wafanye kazi kwa uchaguzi na sio vinginevyo.
Ma office yana wahuni, wabakaji, washenzy na wote wana vyeo, wake zenu vijana wataponea wapi?
Sasa unaishijeHiyo ndio Tanzania sasa. Haki vile wewe unenielewa haswa. Inasikitisha Kila ninapo fanya kazi najikuta naacha mwenyewe. Mimi sipendi kuwa chawa, sipendi kuonewa, sipendi kutumikishwa. Sipendi kunyonywa mbaya Zaidi yote ninayo yachukia yanafanywa kwenye ajira zetu hizi. Nimeacha kazi kampuni Zaidi ya 4[emoji24] Moja wapo hapo Hadi nilishitakiana nao mahakamani
Ndio hivyo nimeamua kujiajili now a days ninekuwa boda boda. Tajiri yangu akisha shuka kwenye PIKI piki tumemalizanaSasa unaishije
Duuh Sasa si Bora kazini unajua mwisho wa mwezi uhakikaNdio hivyo nimeamua kujiajili now a days ninekuwa boda boda. Tajiri yangu akisha shuka kwenye PIKI piki tumemalizana
Bora ujiajiri. Lakini Bora ya mtu ni kile anachoona yeye kinafaa...maana picha halisi ya maisha ya mtu anayo yeye mwenyewe. Ajira za kiTanzania ni utumwa mtupu amini usiamini...kama ujawahi kiajiriwa huwezi kuelewa ninacho kimaanisha hapa.Duuh Sasa si Bora kazini unajua mwisho wa mwezi uhakika
Ni utumwa haswa. Na ukiona mpaka mtu mzima amesema hivyo ujue amekutana na mengi sana.Unahoja za msingi sana baba yangu ni mstaafu mwalimu wa secondary siku moja aliwahi nitamkia hivi wale wenzangu wote walioachaga kazi za serikali wakaamua kufanya shughuli zao wenyewe leo hii nimatajiri na wengine wamekimbilia canada na japani baada ya kufanikiwa hata watoto wao wapo level za juu kias kwamba wakikutana nyumbani moshi yeye ndie huonekana low class funancially kuliko agemate wengi.
Ajira za Tanzania iwe sekta binafsi au serikali nizakitumwa na haziruhusu mtu kuonesha zaidi ya alichonacho full kubanwa kubanwa,kusimangwa,kutishwa n.k
😃😃😃Shikaneni vichwa tu mkimaliza mkasambaze CV
HahahahaShikaneni vichwa tu mkimaliza mkasambaze CV
Kwa tz hapanaShikaneni vichwa tu mkimaliza mkasambaze CV
Awali ya yote nawaomba wapambanaji wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine mmesoma au kusomeshwa na ndugu, jamaa ama mataasisi mbali mbali, wengi wetu tumekuwa na matarajio makubwa sana pindi tulipokuwa vyuoni, tulikuwa tunajiona kwa picha mbali mbali za kufikilika, unajiona ukiwa unazunguka kwenye kiti cha kuzunguka huku ukiwa unapigwa na kiyoyozi 😳😳😳😳😳😳
Mambo huanza kwenda mlama baada ya kutakiwa kwenda field hapo ndipo mapicha picha huanza kujitokeza na mtaa unaanza sasa kukuonyesha rangi yake halisi, kupata nafasi tu kwenye taasisi kwa wanafunzi wa chuo kwaajili ya mafunzo yao kwa vitendo huwa ni ngumu. kuna baadhi ya mikoa ni lazima ulipie ndipo unapata nafasi ya kufanya field kwenye taasisi yao.
huu ni ushauri wangu wa bure kwa vijana wenzangu mnaotafuta ajira na wengine mlio bahatika kupata ajira hivi karibuni.
View attachment 2766101
kama unajijua wewe ni greatthinker ajira za Tanzania zozote hazikufai, watu wanao jielewa hawaitajiki kabisa kwenye ajira hapa nchini kwetu, ndio maana utashangaa dokta anapokea maagizo ya kumtibu mgonjwa kutoka kwa mwanasiasa utashangaa operation ya mguu mtu anafanyiwa kichwani ujue hayo ni maagizo kutoka juu ili huyo mgonjwa aisome namba.
ili umudu kudumu kwenye ajira hapa Tanzania yakupasa uwe mjinga tena mjinga haswa, thubutu kujifanya unazijua haki zako hakuna rangi ambayo utaacha kuiona kwenye hiyo ajira usipo fukuzwa utaacha mwenyewe kwa visanga utakavyo kutana navyo.
nimewahi kwenda wizara fulani, head wa hiyo department nilie mkuta alikuwa ni kituko kwa kweli hana lugha nzuri hata kidogo, nikajisemea kimoyo moyo huyu nafasi aliyo nayo hatoshi.
asilimia kubwa ya watendaji wazuri wapo mitaani ila walio bahatika kupata nafasi awana uzalendo wala uchungu hata kidogo...! hii inatokana na kuwekana kindugu au kihawala.
ipo wazi kuwa hivi sasa bila kuwa na mtu mwenye wadhifa mkubwa wizarani ajira hupati, lakini ajira yenyewe utakayo ipata ni lazima uwe chawa na muoga wa kufanya maamuzi ama pengine ukitaka kufanya maamuzi ya kiofisi ni lazima upate maelekezo kutoka juu sasa wewe jifanye mjuaji ujiamulie utajua kuwa hujui.
kama unaona kipimo chako cha Unyenyekevu ni kidogo, ajira za kitanzania zitakushinda. hakuna watu wanafanya kazi kwa mashaka na kunyenyekeana kama waajiliwa wa hapa nyumbani, wanajinyenyekeza hata kwa mambo ambayo hayahitaji kunyenyekewa. hivyo ili udumu kwenye ajira ni lazima uwe mnyenyekevu. unatakiwa unyenyekee kila kitu hilo mimi lilinishinda😱😱😱
View attachment 2766099
Kuna taasisi ukiwaona wamevaa sare zao utawapenda na kutamani kuwa kama wao lakini nawaambia taasisi zote zenye uniformu hapa nyumba wafanyakazi wake wananyanyasika kisaikolojia sana na hawana cha kufanya maana wameikuta desturi ya unyenyekevu wa kijinga na wanaiendeleza na kujiondoa kwenye hiyo kadhia ina kuwa ngumu mithiri ya ile hadithi ya NANI ATAMFUNGA PAKA KENGERE...? sasa wa kumfunga paka Kengere hadi leo hajapatikana inahudhunisha sana kwakweli...!
View attachment 2766106
Kama unatamani kuishi kwa msongo mkubwa wa mawazo Logwa uajiriwe. utafanya kazi kwa kiwango cha 5g na bado utatafutiwa sababu ufukuzwe ili nafasi yako apewe mwingine. utaishi maisha ya kulogwa au kuloga ili uinusuru nafasi yako. wafanyakazi wana hali ngumu sana maisha yao ni magumu wengi wanafanya kazi ndio hivyo tena awana cha kufanya maana madeni yamewaandama isinge kuwa madeni haki vile hakuna watu wanaoinjoi kufanya kazi wengi wao kazi wameichoka.
inafikia kipindi mtu anatamani kustaafu kazi ili pesa yake ya mafao imsaidie kupunguza ugumu wa maisha. na serikali ilivyokuwa na akili za kuwafanya watu wao waishi utumwani nyumbani ikaja na KIKOKOTOO. mtu unafanya kazi miaka zaidi ya 30 kwa shida sana umestaafu harafu mwanasiasa mmoja nakuja kukupangia jinsi ya kuchukua mafao yako. lifikilie hili kabla hujaamua kuajiriwa.
View attachment 2766097
waajiriwa wa Tanzania awatakiwi kabisa kuzijua haki zao za msingi, na pengine ukijitahidi kuzitafuta ukaamua kuziishi hizo haki kwa kuzifuata itakula kwako. kutaka kufuata haki zako ni kupingana na matakwa ya muajiri wako na kwa nchi zetu hizi muajiri anayo haki muda wowote wa kusitisha mkataba kwa mbinu yoyote ya halali au haramu. utakuta kazi inayotakiwa kufanywa na wafanyakazi 10 hapa Tanzania inafanywa na mtu mmoja tena kwa masaa mengi ya kazi...thubutu kudai haki zako uone kitakacho kupata.
View attachment 2766095
Katika kazi ambazo watu wake wanafanya kazi kwa kutumwa na kushinikizwa kufanya mambo yaliyo kinyume na utu, kinyume na taratibu, kinyume na haki ni hizi kazi za ULINZI hizi kazi hazifai ndio maana WALINZI wastaafu maisha yao huwa magumu sana. hivyo nisingependa kwa vijana tunaojitafuta kuangukia kwenye mikono ya kazi za ULINZI. hakuna mlinzi Tajiri labda uwe jambazi. hii kazi kwakweli kwa watu wanao penda haki haiwafai maana utatamani kudai haki zako huku sheria ikiwakataza vikali walinzi kubishana na mabosi zao. kiufupi walinzi wamezibwa midomo awana pa kusemea ndio maana unakuta kuna kesi nyingi sana za walinzi kujichapa au kuchapana Risasi.
TANZANIA SIO SEHEMU SALAMA KWA WATU WANAOJIELEWA
Kunyenyekea na Heshima ni vitu viwili tofauti. Mtu mwenye uwezo wa kumnyenyekea mwingine ana vielement vya uchawa. Unyenyekevu ukizidi sana unakuwa utumwa. Mimi nitakuheshimu lakini sio kukunyenyekeaUnyenyekevu ni muhimu popote pale unapokua na ni nyenzo katika kupata maisha mazuri.
UKIONA NI KAZI KUNYENYEKEA FUNGUA KAMPUNI LAKO BASI
Hawa mainjinia si ndio hawa hawa wakikabidhiwa tenda za ujenz wa madarasa wanapokea maelekezo kutoka kwa madiwan au unazungumzia injinia gan??umeona wapi injinia docta rubani ananyanyasika?
Kuna dada yupo department ya uhasibu aisee ukimuona unaweza muonea huruma namna anahangaika nayo. Maana anahoji vitu vya msingi na vya logic ila maelekezo kutoka juu anayopewa anajikuta anatamani kuacha kazi hata kesho.Point kubwa sana Hii:
"kama unaona kipimo chako cha Unyenyekevu ni kidogo, ajira za kitanzania zitakushinda"
Hapa ndo palinifanya niache kazi yangu, na sijawahi kujuta kabisa.
Ila wa Bongo wengi ni wanafiki, waongo, washirikina, washenzy, na kujipendekeza.
Kama hauna hizo sifa hapo juu na unataka kudumu kwenhe ajira lazima uwe:
- Mtu wa Mungu sana.
- Mshirikina wa kutupa.
Ni jambo gumu sana mwanamke kuajiriwa, I cant imagine, wanawake wanapitia magumu sana.
Wanaume tutafute hela kwa bidii, hawa wake zenu vijana wafanye kazi kwa uchaguzi na sio vinginevyo.
Ma office yana wahuni, wabakaji, washenzy na wote wana vyeo, wake zenu vijana wataponea wapi?
Bora hapo utakuwa na uhuru wa kutengeneza mfumo mzuri. Ukitazama biashara nyingi zinazofeli ni zile ambazo hazisikilizi mahitaji ya wateja.Hata ukijiajiri utawanyenyekea wateja wako,la sivyo utafunga biashara.