Ushauri kwa vijana ambao hamjawahi kuajiriwa

Ushauri kwa vijana ambao hamjawahi kuajiriwa

WCF ndio wanafanya compesation,osha wao ni wasimamizi na wakaguzi wa mazingira salama ya kazi ili kulinda afya na usalama wa wafanyakazi.
Wcf siku hizi wanashirikiana na waajiri mtu akiumia atazingushwa Hadi akome😭😭😭
 
kuna kipindi niliajiliwa ofisi moja daaah kwajinsi wale wafanyakazi walivyokuwa wanateswa, kazi masaa mengi ujira mdogo......

Kilichokuja kuniuma zaidi wenyewe walikuwa wameshazoea na wanona ni sawa....aisee nilikuwa namchallenge sana yule bosi na msimamizi wake mpaka wakawa wananikubali
wale wafanyakazi wengine ndo walikuwa wanapelekwa.

yaani hapa tz ukijifanya kunyenyekea, na kutii kupita kiwango utaenyeshwa sana


nilifanya kazi miezi kazaa nikaacha.
 
Kama Una akili nyingi na hauna mtaji lazima uanze na kuajiriwa ili upate mtaji then utengeneze ajira yako.


Moja ya mambo huwa sipendi yanipate ni kuwa 'Bright and broke'


That is way tuna chase opportunities ili tupate mtaji na baada ya muda tuanzishe empires zetu easily.

Nchi inawezekana isitambue watu wenye Akili Ila kuna mahala tunabidi tuanzie as a smartest peoples.
 
Katika kazi ambazo watu wake wanafanya kazi kwa kutumwa na kushinikizwa kufanya mambo yaliyo kinyume na utu, kinyume na taratibu, kinyume na haki ni hizi kazi za ULINZI hizi kazi hazifai ndio maana WALINZI wastaafu maisha yao huwa magumu sana.
Umeongea ukweli MTUPU nikiwa km Baba mwanangu km unasoma HUU uzi usije kamwe ukafanya hizi kazi za kinyonyaji hata km unapitia hali gani ya kimaisha kaa mbali na hii Kazi kaa mbali sana fanya kazi zingine ZOTE Ila kazi hii ya ULINZI usifanye hata km unapitia msoto kiasi gani usifanye hii kazi tafuta kazi zingine
 
Back
Top Bottom