Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Kuna watu wana acha vidole, Mikono, miguu huko viwandani bila ya hata ya malipo na OSHA wapo tu sijui kazi Yao niipi.
Wcf siku hizi wanashirikiana na waajiri mtu akiumia atazingushwa Hadi akomeπππWCF ndio wanafanya compesation,osha wao ni wasimamizi na wakaguzi wa mazingira salama ya kazi ili kulinda afya na usalama wa wafanyakazi.
Sahihi mkuuPopote alipo Mtanzania, Muhindi, Muarabu hapafai kufanya kazi. Nimeumizwaga sana kwenye ajira nikiwa kijana, Mungu anisaidie nisamehe.
π π π bado uko chuo eti?umeona wapi injinia docta rubani ananyanyasika?
ππππ π π bado uko chuo eti?
Bado yuko chuo huyo, karibu kitaa tuanze kusoma shule upyaπ π π bado uko chuo eti?
SanaaaaaaNiko intern mahali i experience all the SHIT watu wanapenda kuabudiwa to the max UPUUZI NI MWINGI SANA MAOFISINI
Acha KaziNiko intern mahali i experience all the SHIT watu wanapenda kuabudiwa to the max UPUUZI NI MWINGI SANA MAOFISINI
Umeongea ukweli MTUPU nikiwa km Baba mwanangu km unasoma HUU uzi usije kamwe ukafanya hizi kazi za kinyonyaji hata km unapitia hali gani ya kimaisha kaa mbali na hii Kazi kaa mbali sana fanya kazi zingine ZOTE Ila kazi hii ya ULINZI usifanye hata km unapitia msoto kiasi gani usifanye hii kazi tafuta kazi zingineKatika kazi ambazo watu wake wanafanya kazi kwa kutumwa na kushinikizwa kufanya mambo yaliyo kinyume na utu, kinyume na taratibu, kinyume na haki ni hizi kazi za ULINZI hizi kazi hazifai ndio maana WALINZI wastaafu maisha yao huwa magumu sana.