Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Aisee kama hujaajiriwa kipindi hichi cha Rais Samia sidhani kama utaweza tena kupata ajira za serikali.
Miaka ijayo kutakuwa na mtu atakuja kwa mgongo na sera za Magufuli naye atapata Urais, na hapo ndipo kilio kwa wasomi kitakuwa kikubwa zaidi ya kile cha awamu ya tano. Ukizingatia idadi ya wasomi hairudi nyuma kila siku.
Tumia ubunifu na akili kubwa kuendana na soko la ajira la sasa usifuate mkumbo na maneno ya kijiweni.
Asante