Wazo zuri sana..ila ardhi haiwezi kuisha..mana hatuna sera kama kenya.Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa
1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises [emoji568] nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania
Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
Fafanua/elezea namna ya kupata hizo kazi Mwana diasporaTanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa
1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises 🚢 nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania
Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
Fafanua/elezea namna ya kupata hizo kazi Mwana diaspora
Hapo kwenye kujilipua hapo umenishtua, Moyo wa kujilipua? Yaani hao tunaosikiaga kwamba amejilipua au?!Moyo wa kujilipua, uvivu wa kufikiri na kutenda pamoja na moyo wa ustahimilivu na kuwa na matumaini katika kupambania kesho ndiyo tatizo kwa watanzania.
Tunatamani kufanikiwa ila tunaogopa na hatutaki kuteseka wakati wa kutafuta hayo mafanikio.
Maisha siyo mepesi, ila kwa bahati mbaya taswira ya maisha mazuri yametawala ubongo mpaka tunashindwa kutafakari mchakato mpaka kuyafikia hayo maisha.
Safari ni ndefu.
Ukijiunga na sites za online ambazo zitapokea makala yako hizo sites zinasema zitakulipa kwa pay Pal.Sina muda huo kwasasa sisi wakati wetu tulikuwa hatuna mitandao lakini tulitafuta vyuo kwa kwenda library na cafe za computer unalipita kwa saa! Vijana inabidi muweke utamaduni wa kutafuta msi subiri sisi tuna wapa habari nyie tumieni mitandao kama wenzenu wa kenya
Hapana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23].Hapo kwenye kujilipua hapo umenishtua, Moyo wa kujilipua? Yaani hao tunaosikiaga kwamba amejilipua au?!
Hapo sawa mkuu, tuko pamoja sana.Hapana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23].
Kujilipua ni kama kuamua liwalo na liwe kazi yoyote nafanya kwa bidii zote ilimradi ya halali na itanisaidia kupiga hatua kufikia malengo bila kujali elimu yangu.
Tuanze na wewe kwenye ukoo wako naamini Kuna vijana kama senior umewasaidia vipi kupata au kuona fursa kma unazotuambia hapa haitoshi kumwambia mtu changamka bila kumpa ramani pita hapa katisha pale hivyo ndivyo wenzetu wakenya na wanigeria wanabebana.Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa
1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises 🚢 nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania
Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
Tuanze na wewe kwenye ukoo wako naamini Kuna vijana kama senior umewasaidia vipi kupata au kuona fursa kma unazotuambia hapa haitoshi kumwambia mtu changamka bila kumpa ramani pita hapa katisha pale hivyo ndivyo wenzetu wakenya na wanigeria wanabebana.
Sisi tz tunajuana hasa nyie wazee vijana mnaviroho vya kusonipata unaongea hapa ili tu uonekane umeongea au vijana wazembe na n.k ila siajabu ndugu zako wapowapo tu na humu jamii forum hata inbox tu ujibu au hutoi ushirikiano.
Ovyo Sana..!
Upo sahihiWazee kila siku hua nasema hakuna mtu ambaye ataona chansi ya kujituma apate pesa halafu ataigomea. Hakuna mtu anayependa akiamka asijue asubuhi anaianzaje.
Tuanze na wewe kwenye ukoo wako naamini Kuna vijana kama senior umewasaidia vipi kupata au kuona fursa kma unazotuambia hapa haitoshi kumwambia mtu changamka bila kumpa ramani pita hapa katisha pale hivyo ndivyo wenzetu wakenya na wanigeria wanabebana.
Sisi tz tunajuana hasa nyie wazee vijana mnaviroho vya kusonipata unaongea hapa ili tu uonekane umeongea au vijana wazembe na n.k ila siajabu ndugu zako wapowapo tu na humu jamii forum hata inbox tu ujibu au hutoi ushirikiano.
Ovyo Sana..!
Mazee mengi yalotoboa Tz yako hivoExactly! wanaboa sana hawa wazee mtu hutoi maelezo watu wafanyeje kufikia huko then unalaumu vijana wazembe?